Search results

  1. Dj mat

    Kagame, Uhuru use IDs to enter Uganda

    Kwa sasa Tz tunaweza tumia ID’s kama mbadala wa traveling passport?
  2. Dj mat

    Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

    Kwenye mto uliojaa mamba na viboko,ilitokea attempt ya mamba kumla mtoto wa kiboko akaishia kumjeruhi vibaya.Walichofanya viboko kulipiza kisasi maji ya mto yaligeuka damu.Mamba mmoja alipigwa jino la maana akawa vipande.Jino la kiboko ni refu kama mpini wa jembe
  3. Dj mat

    Computer4Sale Lenovo laptop for sale

    3hrs mkuu
  4. Dj mat

    Computer4Sale Lenovo laptop for sale

    Tsh 270,000-Deal
  5. Dj mat

    Computer4Sale Lenovo laptop for sale

    0712753990
  6. Dj mat

    Computer4Sale Lenovo laptop for sale

    Bado mpya imetumika tu miezi mitatu.Tsh 370,000 Mawasiliano: 0712753990
  7. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Kweli nimeamini kuwa watu huwa mnalima kwa maneno. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Habari wadau! -Kuna mtu yoyote amelima alizeti mbegu ya Hysun 33 msimu huu? -Kama yupo/mpo mnaweza kuleta ushuhuda wa matokeo mliyopata ili na wengine wajifunze. -Pia kama una matarajio ya kuvuna kiasi kikubwa,soko la uhakika lipo,nitakuunganisha na wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Dj mat

    Maajabu ya Korea Kaskazini

    Akili zako zimeishia hapo?umeambiwa Korea kaskazini ni inchi ya kikomunisti.hakuna vyama vingi vya siasa.Sasa Tanzania ni inchi ya kilomunisti?.soma vzr uelewe kabla ya kukimbilia kupost jambo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dj mat

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Samsung J1ace for sale .Tsh 90,0000712753990 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Mdau hapo juu;post #69 ameelezea vzr .Kurudia mbegu baada ya kuvuna haitakiwi
  12. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Mwenye kuhitaji mbegu ya Hysun 33 kwa bei ya punguzo anicheki pm.1kg Tsh 30,000 badala ya Tsh 35,000.Wahi mapema ,Nina Kg 15 tu zimebaki
  13. Dj mat

    Tatizo la Kutokulala kwa watoto wachanga

    Wewe ulifanikiwa kuona wangapi enzi za utoto wako?
  14. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    "Google" Hysun33 -utapata madini ya kutosha
  15. Dj mat

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Nipo Chalinze kwa sasa mkuu
Back
Top Bottom