Search results

  1. Narubongo

    Nina kipaji cha utapeli

    Nilikuwa najiandaa kuandika hivi. Huyu jamaa ana nguvu za giza au pepo, anapoongea na mlengwa pepo hili linamuingia mlengwa na kumpumbaza akili na hivyo kujikuta anatii kila anachoambiwa, ni sawa na wale wezi ambao ukikutana nae akikuongelesha tu unampa hela na chochote anachokihitaji baadae...
  2. Narubongo

    Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

    Simba imekuwa na bahati mbaya ya kukutana na finalists=the best team at KO stage. msimu uliopolita tulitoka kwa GD-1, msimu huu GD 0. Naiona Simba ikivuka robo msimu ujao iwapo tutafanya marekebisho kidogo na iwapo tutaepuka kukutana na the likes of Ahly, mazembe. Ni sawa na uefa ukikutana ko na...
  3. Narubongo

    Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

    [emoji817]
  4. Narubongo

    Manara: Tutaiomba TFF mechi zijazo wapinzani wetu wacheze na Yanga Princess

    Ingekuwa nchi za wanaojielewa kwa kauli hii ya udhalilishaji kwa wanawake huyu mpuuzi asingekuwa na kazi na sasa hivi wadhamini wa yanga wangekuwa wanachomoka mmoja mmoja. Yanga mlipotoka sana kumpa ajira huyu boya. Activists na waandishi wa bongo hawana akili ya kuliona hili
  5. Narubongo

    Wilaya ya Buchosa kuhamishiwa mkoa wa Geita kutoka Mwanza, sababu zimejaa siasa sana

    Nimeshauri sana namna bora ya kugawanya maeneo kwa kuzingatia shughuli za kiuchumi, huko wanaangalia maslahi ya kisiasa kwanza mfano mtu anajua hawezi kushinda ubunge ikiwa anatokea kata/kabila minority kwahiyo analeta ajenda za kuwanywa jimbo ili tu aupate huo ubunge. Matokeo yake program za...
  6. Narubongo

    Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

    Sitaki kuamini hii taarifa na kama ni kweli basi kuna upigaji mzito usio na chembe ya aibu. Timu yangu ya simba sitaki kabisa kuamini hizi figure. TFf oneni aibu tokeni mkanushe hizi habari haraka
  7. Narubongo

    Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

    Norwich anashuka haachi asili yake
  8. Narubongo

    Ipe ofisi au nyumba yako na panel za ndani

    Vitu vyangu hivi.. gharama ya tiles ipoje na ufundi
  9. Narubongo

    University of Dar es salaam: Mnavyowafanyia wanafunzi wa masters na PhD mnakiua chuo, badilikeni

    mzazi anayejielewa hawezi kuruhusu ndoto za mwanae kielimu zichezewe
  10. Narubongo

    Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Kama mwigu na janu 2015 walipiga machata nchi nzima tena kwa spray ya rangi ya mafuta na mpaka leo 2021 machata yao bado yapo na hawakuchukuliwa hatua yoyote zaidi ya kupewa nafasi za juu katika nchi basi na huyo muhindi apongezwe tu
  11. Narubongo

    Kashfa Wizara ya Afya na Yanga bado wanaija wanazuiliwa Bongo

    Swala la covid ni la nchi na si club. Wakulaumiwa ni serikali
  12. Narubongo

    Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

    Na sie tunaohitimisha safari tarehe 19 tunapewa shingapi
  13. Narubongo

    Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

    Ukiingia makundi unalipwa shingapi vile?
  14. Narubongo

    Kama Yanga itafungwa Champions League kichaka cha kufisha nyuso zao wanacho tayari

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Narubongo

    Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    Yanagonga yanarudi Yanagonga yanarudi
  16. Narubongo

    INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

    Sasa umeanza kujua namna ya kutangaza biashara kwa kuweka details. Inagharimu kiasi gani hii mpaka unikabidhi funguo kwa mwanza?
Back
Top Bottom