Search results

  1. nyambari

    QC Chemist

    Dear members. I am urgently looking for two candidates to work as quality control chemist in a soft drink manufacturing firm . Qualification: Bsc. Food Science and Technology Fresh graduates highly recommended. Just PM for more details. Qu
  2. nyambari

    Nafasi ya kazi ( Food Science and Technology)

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, anatafutwa mtu wa kufanya kazi mwenye taaluma ya Food Science and Technology awe anaishi Dar. Maelezp zaidi pm. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app Ashapatikana mtu tayari. Asanteni
  3. nyambari

    Nielewesheni kuhusu Crypotocurrency Tanzania International Ltd

    Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu wa CRYPTOCURRENCY TANZANIA aweze kutumegea kidogo kuhusu ufanyaji wao wa kazi nimefuatilia kwenye...
  4. nyambari

    Ni brand ipi ya battery ya gari kwa sasa ambayo iko imara?

    Masada wana jamvi ni brand ipi ya battery ya gari kwa sasa ambayo iko imara na itaweza himiri kusukuma woofer 1000 watts bila tatizo? Nilikuwa natumia acdeldo N40 ila naona ishakuwa kimeo. Tafadhali nipate brand pendekezwa pamoja na bei elekezi. Asante.
  5. nyambari

    Ndoa ya miaka tisa hawajapata mtoto, Mungu nusuru ndoa hii

    Salaam wana jamvi, Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye yeye na mke wake wana changamoto ya kutopata mtoto kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Hospitali wameenda na hakuna mwenye tatizo lakini, kwa siku za karibuni kumekuwa na kukosekana maelewano baina ya hawa wenzi wawili ambapo tatizo hasa ni...
  6. nyambari

    Naomba kufahamu itumiaji wa mafuta kwenye Altezza

    Habari wanajamvi? Tafadhali naomba kujuzwa wastani wa matumizi ya mafuta km kwa lita moja ukitumia gari ya alteza gita 4 c na 6 c. Asanteni!
  7. nyambari

    Matumizi ya mafuta kwenye Altezza

    Habari ya hapa jamvini wadau? Tafadhali naomba kujulishwa wastani wa lita kwa kilometa kwa gari ya alteza gita 6c and 4c asanteni!
  8. nyambari

    msaada

    Habari zenu wana jamvini? Naomba kuuliza je ni simu zote zenye kutumia windows haziruhusu huduma kama za mpesa, sim banking au ni simu yangu tu? Na kama ni zote haziruhusu ni kwanini? Tafadhali naomba kujuzwa!
  9. nyambari

    Msaada tafadhali

    Naomba kujuzwa mawasiliano ya wakala wa bidhaa za sony hapa Tanzania maana nimetafuta pasipo mafanikio au kama kuna mtu anajua bei ya SONY DAV TZ-130 BRAVIA kwa hapa Tanzania anaweza kunisaidia. Asanteni.
  10. nyambari

    Mbatia Vs Kawambwa

    Kwa wale wafuatiliaji mambo ya bunge hivi ni nani ameudanganya umma kuhusu mitaala ya elimu Tanzania? Mbatia aliyesema nchi haina mitaala na kama ipo apewe ili ajiridhishe? au ni Dk. Kawambwa aliyesema mitaala ipoa ila akashindwa kuipeleka mbele ya bunge mara moja alipotakiwa kufanya vile na...
  11. nyambari

    For suaso members

    Nawatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwish wa muhula wanasua wenzangu Mungu awe pamoja nasi ili tuweze kuyakumba yale tuliyojifunza kwa ajili ya kujibia mitihani yetu.
  12. nyambari

    For sua students only

    Wadau ratiba ya conference tayari iko hewanin hivyo iangalieni kwenye net ili maandalizi yaanze mapema mimi nawatakeini maandalizi mema Mungu awe pamoja nasi katika SEMINA hii.
  13. nyambari

    Kwa wanasua

    Kwa wamasuaso napenda kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwisho wa mwaka wa masomo 11/12 itakayoanza jumatatu tar 2 july, tumwombe mungu atupiganie tuwe wenye afya na pia tuweze kuyakumbuka yale tuliyosoma. All the best.
  14. nyambari

    For only sua students

    Wasuaso wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya mitihani ya kumaliza semester inayoanza jumatatu tar 20 feb ni matumaini yetu wote kwamba mungu atatenda kadri ya uwezo wake najua ni kipindi kigumu lakini yote katika yote ni mmoja tu awezaye kutupa ushindi. All the best
  15. nyambari

    Msaada!

    Tafadhali naomba kwa anayejua bei za madishi ya kawaida na yale ya dstv anijuze kwani nahitaji moja kati ya hayo!
  16. nyambari

    Grade A wametelekezwa

    Yapata miezi mitatu sasa tangu walimu tarajali wapate matokeo yao lakini cha kushangaza ni kwamba serikali imekuwa kimya kabisa kuhusu suala la ajira zao au ndo mambo kama ya bodi BUDGET EXHAUSTED ?
  17. nyambari

    Kwa wale ambao wamefungua vyuo, 'boom' vipi?

    Hivi utaratibu wa boom kwa mwaka huu inakuwaje wakuu, tunatupiwa kwenye hizo akaunti zetu au ni foleni kama first year? naomba MWONGOZO wale ambao tayari mshafungua vyuo maana naona siku zinakata na salio hakuna
  18. nyambari

    For suaso

    Jamani nawatakia maandalizi mema ya sseptember crusade inayoanza jumatatu Mungu awe pamoja nanyi
  19. nyambari

    kila la kheri FORM FOUR

    Natakia mafanikio katika mitihani yenu mnyoanza hapo kesho mungu awasaidie mweze kukumbuka yale yote mliyosoma na mweze kuyajibia mitihani yenu.
  20. nyambari

    Mwenzako akinyolewa zako tia............

    Hawa jamaa bwana eti wanaulizana nai atafuata baada ya mwenzao kuvuliwa gamba
Back
Top Bottom