Search results

  1. Sanday Gayoo

    Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Malofa na wapumbavu tumegutuka , ole wenu mnaojiita wajanja .
  2. Sanday Gayoo

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Hivi waliomtia rumande Masha , ikitokea Masha kuwa boss wake atajisikiaje , Polisi acheni kutumika vibaya na Ccm .
  3. Sanday Gayoo

    Elections 2015 Ahadi za Kikwete zaitesa CCM

    Safari hii wananchi wamechoshwa na ulaghai wao , wataipata kwani tumejionea wenyewe .
  4. Sanday Gayoo

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Walau yeye kaigiza , hongera saanaaaa Lowassa kwa kuonja adha tuiipatao wananchi wa kawaida .
  5. Sanday Gayoo

    Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Mkapa amejishushia thamani pia Ccm yake ameishushia thamani arudi pale alipotolea matamko machafu kuwaomba radhi Watanzania vinginevyo Ccm tayari ipo mahabusu .
  6. Sanday Gayoo

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Ukweli team kijani , msimalize kusema yakaja kuwapata ambayo hamkutarajia kuyapata . Ni ushauri kwenu .
  7. Sanday Gayoo

    Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

    Jamaa alituahidi maisha bora kwa kila Mtanzania , ninachokishuhudia kwa kila siku iitwapo leo ni maisha magumu kwa Watanzania walio wengi .
  8. Sanday Gayoo

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Nawaonea huruma , jua linawawakia .
  9. Sanday Gayoo

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Maneno ya hekima na busara ndiyo tunayoyahitaji hapa jf , hili ni darasa nawaomba muache kukejeliana / kudharauliana na kutusiana ili tupeana mwanga wa ufahamu ulio mzuri .
  10. Sanday Gayoo

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Hakuna jipya , yale yale ya mwamba ngoma ngozi huvutia kwake .
  11. Sanday Gayoo

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Safari ya mabadiliko hiyooo imeivaa . Wapenda mabadiliko mbele kwa mbele UKAWA oyeeeeeee.
  12. Sanday Gayoo

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    Uvccm ni nani ninyi mbele ya umma ?
  13. Sanday Gayoo

    Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Ccm kwishine 2015 , hatuhadaiki kwa namna yeyote ile .
  14. Sanday Gayoo

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Ikisha kuwa tayari rasimi tujulishane ili tetesi iwe imetupatia fununu kamili .
  15. Sanday Gayoo

    Ulinzi au kufuru? Wamarekani bwana

    Hizo ni salam zenu kwa wapenda jihad ,.
  16. Sanday Gayoo

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Tunasubiri , tujue mbivu na mbichi .
  17. Sanday Gayoo

    Uchambuzi: Kuondolewa Lowassa Urais CCM Ndio Mwanzo wa Siasa za Ukabila/Ukanda Tanzania

    Nawashangaa wanaopiga kelele katika hili , hiyo ndiyo Ccm na hiyo ndiyo kazi yako tokea iasisiwe . Mliokuwa hamjui leo yamewafika ndiyo mnapiga kelele . Hakika kweli mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu .
Back
Top Bottom