Search results

  1. C

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Serikali inafanya makusudi kuuwa makampuni ili wafaidike. Suala la TTCL kutokufanya vizuri inajulikana na sio kukosa uongozi bali ni wakubwa kuwa na share kwenye makampuni mengine.inaleta conflict of interest
  2. C

    Rais wa 2015

    Tujaribuni kumpigia debe wana jamvi wote si mnamuona alivyo ngangari kukemea maovu.
  3. C

    Rais wa 2015

    Habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite bila kupingwa.
  4. C

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    wamekosea jina badala ya Pinda lilikuja la Lowasa ndo mana wamehairisha tuwe na subira
Back
Top Bottom