Search results

  1. M

    Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Jadilinisiasa,acheni utoto unaoweza kuligawa taifa kwa udini na ukabila,ukileta udini kutakuwa na maswali mengi hata kwa serkali na chama tawala
  2. M

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Tuwe kitu kimoja,tusidanganywe,ukweli utajulikana tu.mungu akiwa upande wetu nani atakuwa juu yetu?hakuna
  3. M

    GOOD: DK Slaa atibua mambo kwa Wassira

    Tatizo hawajibu hoja za msingi!!!!!!!!Kupanda kwa gharama wao hawaoni kama ni issue..Wamejisahau..nchi inayumba kweli kweli!!kila mtu ni msemaji wa serkali... nchi inayumba kwa sababu hakuna ccm imara....tufanyeje????
  4. M

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Mnasikia wewe na nani?Mie nipo mwanza tena mjini kabisa na sija sikia hizo habari!!! chamsingi ni Serkali kutatua shiza za wananchi!!na sio kutafuta nani ana toa pesa kwa chadema!!!Serkali ijubu hoja za chadema ...
  5. M

    Kongamano kuuubwa kesho tar 30 mjini tabora.

    Hii radio Imani na wanao ituma hawatutakii mema kabisaa!!!tuwatafute tuwajue..watueleze nia yao waziwazi!!!!!
  6. M

    Arusha Kama Ivory Coast: Mji Mmoja Meya Wawili

    Kiza kikizidi ,kunakaribia kukucha...peoples Power is the only solution..
  7. M

    CV za Wabunge Wapya Chadema

    Sifa za kugombea ubunge Jamhuri ya muungano wa Tanzania hizi hapa; Sifa za mgombea Ubunge Awe raia wa Tanzania Awe na umri wa miaka 21 au zaidi Awe ni Mwanachama na ni Mgombea iliyependekezwa na Chama cha Siasa Awe hajatiwa hatiani na Mahakama yoyote kwa kosa la kukwepa kulipa kodi katika...
  8. M

    CUF imewahi Kufanya nini kwaajili ya Tanzania?

    Hao viongozi wa CUF walowekwa ndani waliwekwa na nani?na waliwekwa ndani wakitetea nini ?na je wamesha pata walichokuwa wanadai? Wamechukua hatua gani kama walionewa?na kama hawakuonewa kwanini walivunja sheria kwa makusudi
Back
Top Bottom