Mmiliki wa server za M_pesa yupo kenya, sasa voda fone wanunuzi wa leseni ya M-pesa hawawezi kuwa na jibu la moja kwa moja wakati kuikwa na tatizo la m-pesa. ili jua kuwa pesa zako zipo salama.
Nadhani ni vyema ukatafakari kabla ya kuandika kinachotoka kinywani. Ishu ikipita kwenye Baraza la Maawaziri hua Halitoki nje.....kwa mmoja mmmoja..bali linakua msimamo wa serikali. Hivyo basi, Mh. Sitta , ngeleja na Celina Kombani wanatudhihirishia kua Sirikali yetu ni mbovu na ya kibanafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.