Search results

  1. lyalya

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Utakufa kifo kibaya wewe unazidiwa akili hata mbwa
  2. lyalya

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Sema ndugu ujasili ulio nao sijui unaupata wapi maana wengi waliokuwa kama wewe waliishia kupata matatizo makubwa
  3. lyalya

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Ndugu hii dhambi kubwa sana jitahidi kutubu isije kukutafuna wewe na kizazi chako
  4. lyalya

    Marriage is an outdated concept

    Nimepitia kwa kina mada hii naona huu ni mjadala wa Kitaifa
  5. lyalya

    Marriage is an outdated concept

    Safi sana umeongea vyema
  6. lyalya

    Marriage is an outdated concept

    Jaribu mwalimu ila kwa nesi usijaribu ni hatari sana kwako
  7. lyalya

    Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

    Nilipo ona neno NJOZI mood ya kusoma ikaisha
  8. lyalya

    Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Wasanii wa Tanzania siku hizi hakuna kitu na sio kama zamana ambapo msanii alikuwa kioo cha jamii . Mziki ulikuwa wa zamani siku hizi ni njaa tu zinawasumbua.
  9. lyalya

    Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

    Mimi leo nilikua kituo flani cha afya nikiwa na Mgonjwa wangu pale nikaulizwa na Nurser wa zamu kuwa umeisha agiza boda aje kumpeleka mgonjwa wako nyumban maana alikuwa ameruhusiwa kuondoka nikamwambia kuna gari basi dada wa watu kachanganyikiwa mara ohh niachie hela ya jojo da hawa viumbe na...
  10. lyalya

    Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Huo ndio mtihani mkubwa katika maisha yetu Pesa haitatuacha salama
  11. lyalya

    Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Sema familia za siku hizi nazo ni pasua kichwa kweli kweli
  12. lyalya

    Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

    Barikiwa Sana Mr.dj
  13. lyalya

    Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Kila jambo lina sababu yake . Kwa jinsi unavyo jibu naona dada utakwama tu maana hakuna mwanaume anayependa mke wa aina yako
  14. lyalya

    Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Nitumie inbox namba yako tutengeneze chain ya biashara
  15. lyalya

    Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Hii ni biashara kongwe haikuanza leo au jana ipo kitambo
Back
Top Bottom