Search results

  1. M

    Kwanini madereva wa Uber, Bolt ni walalamishi?

    Sipandagi mara nyingi Kwa ajili ya uchumi lakini mara zote nikipanda dereva atalalamika mwanzo Hadi mwisho wa safari mara tajiri yuko nje Hana gari anapata hela ya bure mara anatukata asilimia 25, mara siku hizi hakuna bonus hivi ukijiunga huwezi kutoka kama Freemason?. Mnateseka kuzima data...
  2. M

    Tukumbushane tuliowapokea mashujaa wa vita vya Kagera

    Sikumbuki mwaka vizuri Ila nilikuwa darasa la 4 Kati ya 78 au 79. Ilitangazwa kuwa Vita imeisha na MASHUJAA wetu wanarudi nyumbani. Tulienda kuwapungia mkono stesheni wakati walipopita na treni, nakumbuka tuliimba nyimbo za kizalendo za kumsifu Baba wa Taifa hili na kumkashifu Dikteta Idd Amini...
  3. M

    Natafuta suti za kike

    Wapi nitapata suti za kike nzuri suruali na sketi bei ziwe saizi ya kati sio kubwa sana. Msaada tafadhali niko Dar.
  4. M

    January tuhurumie!!

    Kwa heri January
  5. M

    LIKE KWANGU ZIMEADIMIKA.

    Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
  6. M

    Ni birthday yangu 50 years

    Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
  7. M

    VIMULIMULI

    Asante JF mmetuma vimulimuli vya Xmas na mwaka mpya kwa hali yangu sitegemei kununua mti wala taa za vumulimuli. N awaza ada za watoto hadi presha inashuka. ASANTE JAMIIFORUMS.
  8. M

    Nikinyoa napata muwasho wa ajabu

    Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhali
  9. M

    Tafadhalini naomba msaada wa hii hesabu

    48 students in an economics class selected three subjects , ie Economics Development, Public Finance and Mathematics. Of these 35 students took Economic Development, 8 took Public Finance and 5 took both Economic Development and Public Finance .Of all those who took Mathematics also took...
  10. M

    Natamani kwenda Movenpick!

    Natamani kwenda Movenpick kuwaeleza Watawala Tanzania ninayoitaka. Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo watoto wake wanasoma kwenye madarasa na pia wanakaa kwenye madawati. Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo akina mama wakienda kujifungua wanajifungua kwa staha (sio kulala mama zaidi ya mmoja...
  11. M

    Sio sawa kabisa dhifa za taifa kuonyeshwa kwenye tv

    Jana niliona dhifa ya Taifa ,wakubwa wanakunywa michuzi na wine. Sio vibaya kumkirimu mgeni lakini kwa uelewa wangu mdogo ni dharau kwa wavuja jasho, watu wasio na uhakika wa mlo hata mmoja. Tv zimeenea nchi nzima hata vijijini kule igunga ambapo watu wanakunywa maji na ng'ombe , kule kwetu...
  12. M

    Hivi Watanzania tunajua tunachokitaka?

    Nimekuwa nikijiuliza sana sisi watanzania na hasa wanamageuzi nini hasa tunachokitaka nikakosa jibu. Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza Bunge lililopita likiwa na mvuto wa hali ya juu pale ambapo kinyume na mategemeo ya wengi bunge lileta majibu ya faraja kuhusu mkataba wenye utata wa...
  13. M

    Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

    Ndugu zangu wana CHADEMA( nasisitiza ni chadema tu) matokeo ya Igunga yamenifanya nije na wazo. Huu si wakati wa sie kutulia na kuacha hili jambo linapita bila kulifanyia kazi. Kifupi ushauri wangu harakati za chama ziendelee chini ya viongozi hapo wilayani kwa kuimarisha chama kama...
  14. M

    Nimedanganywa mara tatu!

    Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai 1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha 2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto 3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi...
  15. M

    ofisi za kata kupakwa rangi za ccm ambazo ni kijani na njano

    wanajamvi nina swali ambalo linanitatiza je ni sawa kwa ofisi za kata kupakwa rangi za ccm? nimeona ofisi ya kata ikungi, aghondi, msisi na mvumi zote zikiwa na rangi za kijani na njano ofisi hizo ziko mkoani singida je ni sawa?
  16. M

    maandamano ya chadema shy

    maandamano ya chadema shy yameanza muda mfupi nyomi usipime sina uwezo wa kuwaletea picha ila kwa kifupi ccm kwishney
Back
Top Bottom