Search results

  1. Don Alaba

    Barabara ya Vingunguti ni shida kwa sasa

    Haina shida, nitaleta picha zake mkuu
  2. Don Alaba

    Barabara ya Vingunguti ni shida kwa sasa

    Watumiaji wa hii njia tunapata changamoto kubwa baada ya kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha!
  3. Don Alaba

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Wala usijali, na siku zote huwa nakuelewa vyema unapoandika, sema tu huwa natafakari hisia zako, tuendelee kujenga nchi, kweli exposure ya watu kusafiri nje haijabadili viwanja vyetu kwa speed inayohitajika.
  4. Don Alaba

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Unakuta wewe ndo mjomba halafu ndo shangazi pambana usaidie ndugu zako
  5. Don Alaba

    Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Sema Barafu huwa una hasira sana na mamlaka sijui walikufanya nini, ila jambo moja sio tempo wote walikosa weledi au kuwa na ndugu pale, dhana mbaya ni ile mamlaka kukaa na hawa vibarua zaidi ya miaka kumi, kosa si la mkurugenzi mpya bali utawala uliopita, kisheria sijui mtu anatakiwa afanye...
  6. Don Alaba

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Natumia Samsung A5 nikipiga namba zilizopo kwa phonebook yangu naambiwa sina salio, ila niki dial namba ambayo haipo kwa phonebook (contacts) simu zinatoka fresh, sasa sijui ni settings zipi hapa ambazo zinakorofisha?
  7. Don Alaba

    Order your unlock phone code: 100% money back guarantee

    Niaje kaka, dizaini nina Z3 blackberry imeniletea error www.bberror.com/bb10-0015, hii inakuwaje?
  8. Don Alaba

    SUMATRA wameanza kuita kwenye Usaili

    hizi kazi ni za December mwaka jana
  9. Don Alaba

    SUMATRA wameanza kuita kwenye Usaili

    Ni kweli mie nimepigiwa simu jana asubuhi, mie niliomba nafasi ya mtakwimu tena tunaanza na written udsm computer lab sema kama kuna mtu nae yupo aniambie jina la hiyo room pale udsm pia kama mtu ana experience ya written anipe dondoo au format maana mzigo wa takwimu una wigo mkubwa sana!
  10. Don Alaba

    Hali ya Usalama Jijini Dar inazidi kuzorota, Vyombo vya Usalama vinafanya kazi gani?

    Umenena vyema aisee hiyo inawezekana ilikuwa sehemu ya mchezo
  11. Don Alaba

    Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Basi haina shida kinachobakia dawa ya deni ni kulipa acha wafanye kazi ya kuwaweka wadaiwa kwenye mabango maana hamna namna nyingine watu wanabadili namba zao za simu haya masanduku ya posta wachache sana wafatiliaji acha waweke watu wapeane habari
  12. Don Alaba

    Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Ni kweli ila hata mdaiwa unapaswa kufatilia deni lako kama vile ulipokuwa unafatilia kama mkopo umeingia!
  13. Don Alaba

    Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Umetoa taarifa bodi baada ya ile miezi iliyowekwa kama hujapata ajira
Back
Top Bottom