Kwa wale mnaofuatilia habari, jana warioba alipoulizwa kuhusu mtazamo wake juu ya chadema kutoka nje ya bunge alisema'' kutoka nje wakati MTU mmoja anaongea siotati'' na hata hivyo chadema hawajakiuka kifungu chochote cha kanuni za bunge,vile vile Jaji mkuu nae alisema kwa jinsi anavyo fahamu...
bila shaka unapokuwa na unajivunia kitu flani lazima kiwe kinakusaidia na kukuwezesha kupata maendeleo.sasa tz tunaambiwa tunaamani tena ya muda mrefu tu,lakini leo Rwanda tukicheza nao mpira wanatufunga,hali kadhalika DRC sasa faida ya kuwa na amani ikowapi,kama hata katika michezo tunashindwa...
Kama sitta uliweza kutetea hoja zako wakati wa hayati mwalimu na ukalambwa viboko pale ikulu wakati ukiwa mwanafunzi wa udsm,sasa unashindwa nini kuondoka ccm na kuonyesha misimamo yako? usogope kutetea ukweli na kusimamia haki kwa kuhofia kuonekana msaliti, tena wakati ule hapakuwa na vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.