Search results

  1. GeniusBrain

    Manispaa ya Ilala kupoteza mapato ya Tshs 31.2m

    Jana tarehe 03.02.2016 uongozi wa soko la feri ulizuia kulaza magari katika parking za magari za soko hilo. Kwa kawaida muda wa jioni kuanzia saa 12 ambapo watu wa Tanzania Parking Sytsem wanapo maliza muda wao wa kutoza ushuru wa parking za magari za eneo palikuwa panatumika kufanya huduma ya...
  2. GeniusBrain

    Dr. Kimei awania tena tuzo ya African Banker of the Year Award

    Mkurugenzi mkuu wa CRDB Bank Dr. Charles Kimei , ameorodheshwa tena kwenye tuzo ya African Banker of the year award kwa mwaka 2014. Tuzo hii hutolewa na Benki ya Africa (ADB) kwa viongozi wa mabenki Afrika ambao wameonyesha weledi wa uongozi na utendaji mzuri wa taasisi zao na sekta nzima ya...
  3. GeniusBrain

    Si kweli kuwa UKAWA wako wengi nje ya bunge

    Ndugu wanabodi, tumekuwa tukisikiliza kauli za UKAWA (Umoja wa Katiba ya wachache) wakijinasibu kuwa wao ndani BMK ni wachache ila nje ya bunge wao wako wengi. Hili jambo halina mashiko hata chembe. Na hili linajidhihirisha kwa wao kukimbia ndani ya bunge, kwani hofu yao kubwa ni kuwa wasipo...
  4. GeniusBrain

    Ushauri kwa Chama changu makini CHADEMA

    Napenda kutoa ushauri wangu wa bure kwa Chama changu makini CDM na mie nikiwa kama mwanachama mwaminifu na mpenda maendeleo ya Chama . Nawaomba viongozi wangu chonde chonde tusipeleke uwekezaji mkubwa wa hela ya kampeni chalinze, kwani dhoruba tulilo lipata kalenga linatutosha, tujipange upya...
  5. GeniusBrain

    Rwanda yaonywa na nchi Za SADC

    *Vikosi vyake vyasogezwa mstari wa mbele *SADC yakaa chonjo, yaionya tena Kigali VIKOSI vya wanajeshi vya Serikali ya Rwanda vyenye silaha za kivita, sasa vimesogezwa katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Taarifa ya kusogezwa kwa vikosi hivyo mstari wa...
  6. GeniusBrain

    Bunge tukufu la JMT laahirishwa

    Bunge tukufu la JMT limeahirishwa jioni hii na Mh. Waziri mkuu Ndg. Pinda. Bunge hili limeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kutumia weledi wa hali ya juu kupitisha miswada ya sheria ukiwemo ule wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Tunawapongeza wabunge wote kwa kuhitimisha hii kazi muhimu ya kibunge...
  7. GeniusBrain

    Maoni ya Katiba Mpya: CHADEMA yaenda arijojo

    Tumesoma kwenye magazeti ya leo (26.08.2013) kuhusiana na Babu Slaa kulalamika kwa kauli ya Mh. Kinana (katibu mkuu wa CCM) ya kwamba CCM imekusanya maoni ya zaidi ya wanachama wake milioni mbili na nusu kuhusiana na maoni ya mabadiliko ya katiba. Maoni haya ya CCM yamekusanywa kutoka wanachama...
  8. GeniusBrain

    Wosia huu watanzania tulimuelewa Mwalimu JK alikuwa na maana gani?

    "Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba" Wosia wa Mwalimu Nyerere 1990, Diamond Jubilee
  9. GeniusBrain

    MPs discuss evictions of Rwandans from Tanzania

    About 4,000 Rwandans have been received in Kirehe District after being evicted from the Kagera region in the north-western part of Tanzania since last week. The New Times/Timothy Kisambira. The East African Community (EAC), should use appropriate channels to sort problems affecting citizens of...
  10. GeniusBrain

    Madiwani wapya Arusha wapuuza kauli na muongozo wa Lema !

    Nilikuwa nasikiliza kipindi cha NIPASHE (RADIO ONE) leo asubuhi (03.08.2013) ambapo walikuwa wana wahoji madiwani wa CDM waliochaguliwa hivi karibuni na kuapishwa jana jijini Arusha. Katika mahojiano yao wote walikuwa na kauli moja kuwa uchaguzi umekwisha, na kuapishwa kumekwisha na sasa kilicho...
  11. GeniusBrain

    Uchumi wa Arusha umekwisha tuufanye kuuokoa???

    Wana JF uchaguzi wa Arusha umekwisha na CHADEMA wameshinda, hongereni sana. Ila uchaguzi ni maana yake ni kuwapata viongozi watakao waletea wananchi maendeleo, likikosekana hili hata uongozi hauna maana yoyote. Hii ni hali halisi na sio kificho na hata watu wa Arusha wanalijua hili. Kwa hivi...
  12. GeniusBrain

    Hali ya sintofahamu yatanda kwa wageni huko S.A. endapo Madiba akiondoka

    Jana (10.06.2013) kwenye kipindi cha BBC Swahili jioni , wageni mbali mbali waishio Afrika Kusini wameonyesha hali ya wasiwasi ya mustakabali wa maisha yao huko endapo Mzee Nelson Mandela atafariki. Kwani Mzee Mandela ndiye aliye rekebisha sera za Afrika kusini na kuwaruhusu wageni waishi nchini...
  13. GeniusBrain

    Tamko la Taasisi ya Wahandisi kuhusu kuporomoka kwa Jengo la ghorofa 16

    TAMKO LA TAASISI YA WAHANDISI TANZANIA KUHUSU KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA 16 LILILOKUWA LINAJENGWA JIJINI DAR ES SALAAM 1. UTANGULIZI (ANGALIZO) Kabla ya kutoa tamko lake, Taasisi ya Wahandisi Tanzania inatanguliza ufafanuzi ufuatao kwa ajili ya kuongeza uelewa na kuzuia upotoshaji wa...
  14. GeniusBrain

    TRA ASCUDA, kulikoni?

    Ndugu wana bodi, Najua humu ndani ya Jukwaa letu la JF lina wanachama na wapenzi ambao hupitia humu ndani mara kwa mara. Kwa maana hiyo basi , ujumbe unao wekwa humu husomwa na wengi. Suala ni hivi, watu wa TRA ASCUDA huu ni uzembe wa hali ya juu. Kuna jamaa yangu aliagiza gari na amelipa...
  15. GeniusBrain

    TANESCO Kanda ya Kaskazini mnakera, jirekebisheni !

    Katika hali yakusikitisha na kuhuzunisha ni hili jambo la baadhi wakazi wa Msasani (Mbuyuni) wa line moja kupatwa na mateso yakukatiwa umeme jana na hata siku zingine japokuwa ofisi ya TANESCO ya Kanda ya Kaskazini ipo jirani yao. Imekuwa kama ada (mazoea) ya line moja kukatiwa umeme ili...
  16. GeniusBrain

    Utafiti wa Tanzania Daima juu ya Dk Slaa wapondwa

    Jana katika gazeti la Tanzania Daima , ukurasa wa mbele kabisa kulikuwa na kichwa cha habari ' Dk Slaa kinara wa urais 2015'. Habari hii, ilionyesha utafiti ambao ulifanywa na Jamii Forum. Katika hali kushangaza, utafiti huu umeonyesha waliochangia mawazo yao hawazidi hata watu 1,500...
  17. GeniusBrain

    Vyama Vingine tutafika lini huku? CCM imeonyesha njia

    Katika Mkutano mkuu wa CCM wa 8 uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma, moja wapo ya jambo jema ambalo CCM kwa kweli wameonyesha njia kwa vyama vingine ni kuweka miradi kwa ajili chama. Mie kama mtanzania sioni mbaya mtu au chama kuwa na wivu wa kimaendeleo kwa mwingine. Kibaya hapa, ni kuwa na...
  18. GeniusBrain

    Vyama vya siasa vyaalikwa kwenye uchaguzi mkuu wa CCM Dodoma

    Kama tujuavyo kuwa chama tawala cha CCM kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa chama kuanzia tarehe 10-13 november , 2012. Kutokana na kujua kuwa siasa si uhasama vyama vyote vya siasa vimealikwa kuhudhuria mkutano huo adhimu bila kubaguliwa. Vile vile wamealika vyama rafiki vya nchi mbali...
  19. GeniusBrain

    Oil chafu kwa matumizi ya vyama vya siasa yatayarishwa

    Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa CHADEMA...
  20. GeniusBrain

    CDM fanyeni hili ili wananchi tuwaelewe ! kwani kuwa na nywele hakumaanishi una uwezo wa kufikiri

    Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo: Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu Nchemba (aka. Kiboko ya CDM warukao na watambaao ardhini na angani) Na kwa hizi shutuma zote, viongozi...
Back
Top Bottom