Search results

  1. AcinonyxJubatus

    Neto Ndelito: Mtu aliyeiua Mount Meru University

    Ni kwa masikitiko makubwa naamua kuandika waraka huu kama kumbukumbu itakayobaki katika vina vya historia juu ya chuo changu nilichosoma miaka ya nyuma, na sasa kikielekea kusikojulikana. Ila yote namesababishwa na kiumbe huyu mwenye mikosi aitwaye Neto Ndelito. Neto Ndelito alisoma chuoni hapo...
  2. AcinonyxJubatus

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mafuriko yameanzia huku huku mtandaoni. Angalia idadi ya comments na sasa bado Ni asubuhi
  3. AcinonyxJubatus

    Mitandao Ya Kijamii Itawadondosha CCM Asubuhi Na Mapema

    Naona Kimekuuma sana, na wewe Ni mhanga? ????
  4. AcinonyxJubatus

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Kwakweli Ni shida ya mtandao. Tumekua uanjani ila network ililemewa kabisa. Sisi sote tumesha ndwa kurusha updates
  5. AcinonyxJubatus

    Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Hata huku kuna popaswa kuwa na umeme haupo. Kwanini sisi Ni wa rahisi sana kudanganywa??????
  6. AcinonyxJubatus

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Arusha hapa, pia no umeme.
  7. AcinonyxJubatus

    Arusha: Kumetokea ajali mbaya njia ya Ngaramtoni

    ni kweli ajali imetokea ila sii mbaya kama unavyoitaja ajali imetokea sehemu inaitwa maili sita na gari tajwa hapo juu limeingia mtaroni ila hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha gari tuu ndilo limeumia
  8. AcinonyxJubatus

    Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

    Ni ajali mbaya sana. Najaribu kuwa Weka picha
  9. AcinonyxJubatus

    Picha Joshua Nassari: akishushiwa kibano jimboni kwake

    ?????????????????????????
  10. AcinonyxJubatus

    Askari wa usalama barabarani Dar

    Yaani hata mimi nimeua mhanga wa hicho itabu asubuhi hii. nimeshaandikiwa.
  11. AcinonyxJubatus

    Mwenye ufahamu kuhusu hawa jamaa atueleweshe isije kuwa ni matapeli

    Tahadhari nyingine hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/401407-nmb-be-cautious-with-tanzania-loans-society.html
  12. AcinonyxJubatus

    Mwenye ufahamu kuhusu hawa jamaa atueleweshe isije kuwa ni matapeli

    Link yao hii hapa: http://tanzania-loans.wapka.mobi/index.xhtml
  13. AcinonyxJubatus

    Faida za tunda la ukwaju

    Hahaha,nami nimeshangaa hii habari ilivyo kombo. Hebu tuambie umekunywa juisi ipi maana hiyo itakuwa hatari kuliko ya ubuyu
  14. AcinonyxJubatus

    Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Ni kweli wana jamiiforum, mwanamke aliyepigwa risasi leo hapo nje ya benk ya CRDB ni mke wa mkuu wa mkoa wa Arusha. Kaazi kwelikweli!!!
  15. AcinonyxJubatus

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    HE! Ni wewe, you are so realistic today. ila sio Lama ni Lema - Mbunge wetu wa Arusha.
  16. AcinonyxJubatus

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Nami katika kupekua literature nimekutana na hii article. Subject: *Why are Jews so powerful?* what is interesting ni kuwa imeandikwa na Muislamu wa Pakistan. Jisomeeni wenyewe. HAPA - Why are Jews so powerful?
  17. AcinonyxJubatus

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Wanaoandamana kwa ajili ya hili eti la watoto wamebishana na kupelekea msaafu kukojolewa they are all in sane. Very hopeless, why dont you do something valuable, hamnaga vitu vya kufanya vya maana??? Siting somewhere waiting who is doing what or saying something mpate la kuandamania.
Back
Top Bottom