Search results

  1. N

    Elections 2015 Uchaguzi CCM: Mambo matano mabaya Magufuli akiwa rais

    Unawashauri nini watanzania kutokana na hoja hizo ulizoziainisha?? Au unafikiri ni nani ambaye angefaa na ambaye ni mkamilifu 100%?? Nijuavyo mimi hakuna binadamu aliye mkamilifu ila Mungu peke yake!! Hata wewe mtoa hoja una mapungufu yako kama nilivyo mimi Nyahinge kwa kuwa sote ni binadamu...
  2. N

    Magufuli mpaka sasa hana 'Vision' yoyote kuhusu Tanzania?

    Hoja ya Magufuli kuwa accidental president naipinga Kwa nguvu zote kabisa!! Kitendo cha yeye kuchukua form ya uraisi ni dhahiri kwamba amejipima na kujihakikishia kwamba ana uwezo kuwa katika nafasi hiyo kama ambavyo wagombea wangine kama Lowasa, Membe, January, Mwigulu, Amina, Migiro na wengine...
  3. N

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Kuhusu nyumba za serikali, maamuzi hayakuwa ya Magufuli ni issue iliyopitishwa na baraza la mawaziri likiongozwa na waziri mkuu na kupewa baraka na mheshimiwa raisi wa awamu ile,, sasa nashindwa kukuelewa unaposema Magufuli alifanya "political entrepreneurship " Waziri mkuu wa awamu ile...
  4. N

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Ocampo four, hoja zako hazina mashiko inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na chuki binafsi na Magufuli!! Kama kichwa kinavyojieleza kwamba Magufuli hafai kuwa raisi,, haujasema ni nani anaefaa kuwa raisi ili tuone kama yeye yuko 100% clean!! Ocampo nakuomba uje utueleze ni nani anayefaaa??
Back
Top Bottom