Search results

  1. maroon7

    Tujifunze Samakisamaki, unakaribishwa hadi chooni

    Ukija Dar nitafute mkuu nikupeleke ukaburudike kidogo
  2. maroon7

    Tujifunze Samakisamaki, unakaribishwa hadi chooni

    Huwa mara nyingi sana nawaza kuandika uzi kuhusu customer service ya Samakisamaki pale Masaki ila nasahau sababu nakuaga high. Sasa leo baada ya game ya Simba na Yanga nikawa najiwazia mambo mengi kujiliwaza baada pia ya kuhudumiwa vibaya na mhudumu sehemu nilipokua naangalia mpira. Ndio...
  3. maroon7

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Kama huu uwanja wa Dodoma taa zake hafifu sana hata haifurahishi kuangalia kwenye TV.. naangalia mpira wa Yanga na Dodoma jiji hapa yaani picha hovyo kabisa sababu taa hafifu
  4. maroon7

    Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Tunaokunywaga Serengeti lite wanatuonaga wageni wa pombe
  5. maroon7

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Misale ya waumini ni muongozo wa misa takatifu ambao unamasomo tofauti toka kwenye biblia.. Katoliki haijakataza kutumia biblia mkuu nyie ndio mnapotoshaga watu maana umeandika kana kwamba biblia haina maana kwa Katoliki. Walokole mnashida sana
  6. maroon7

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Umenikumbusha aisee niliingia kwenye mahusiano na lidem lizuri balaa aisee afu liko so decent nikafurahia kuwa sasa ntaenjoy tendo maana kumbe lilikuaga kwenye ndoa likazinguliwa likaamua ku -move on likaja Dar kuanza life from Mwanza. Nilikua disappointed sana yaani ni hamna kitu kabisa...
  7. maroon7

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Iwashughulikie Wakopeshaji wa Mtandaoni Wanaodhalilisha Wateja Wao Kwa Kusambaza Taarifa Binafsi Kwa Wasiohusika

    Nadhani ukitaka kuwashitaki vizuri uwalipe deni lao kwanza,then nawewe uanze kuwadai fidia ya udhalilishaji walioufanya. Maana kuchelewa kulipa deni ni kawaida. BTW,ni baada ya muda gani kupita bila kulipa ndio wanaanza kuwatumia watu SMS?
  8. maroon7

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Nina ushuhuda mwingi wa ndoa za wakatoliki na waislam ambazo hazina shida hata kidogo na wanaheshimiana vizuri mno....ila kwa wasabato hata mi sishauri..nadhani kuna kitu kwao
  9. maroon7

    Nimegundua mke wangu naye yupo humu JF

    Mbona kama wewe ndo mwanamke sasa
  10. maroon7

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Sasa umenunua kiwanja 32m unakosaje mbavu za kujenga kitu cha maana hata mdogomdogo? Usije ifedhehesha familia yako ukajenga kitu cha ajabu ukawa maskini wa mtaa....wataishi kinyonge maisha yao yote. Mimi nakumbuka enzi za utoto kuna jirani nyumba yao ilikuaga duni afu haikuaga na umeme,mpaka...
  11. maroon7

    SI KWELI Je, kuna uhalisia wowote wa Pafyumu kutibu jeraha la kujikata?

    Usifanye majaribio kwa watoto tafadhali....spirit ni buku tu. Otherwise mpeleke hospital
  12. maroon7

    KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

    Mkuu sio mbaya nao wanapata riziki yao... mtaani pagumu sana. Kikubwa uwe informed na unachoenda kununua.. sometimes wanasaidia pia hasa kwa machimbo mageni
  13. maroon7

    Utunzaji wa vyakula kwenye friji

    Ongeza asichanganye cooked foods na raw foods pia kuepuka cross contamination
  14. maroon7

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Sababu yanga walikua na expectations kubwa sana
  15. maroon7

    Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

    Hiyo 60m hata nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu hautamaliza hadi finishing vizuri...ambayo ikiisha utaipangisha laki 3 ikizidi sana laki 4
  16. maroon7

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Sasa si kila mtu kafa kivyake..yaani kutolewa kwenu kuwe kunatuhusu sisi... Au tuliwashika miguu msifunge penati.
Back
Top Bottom