Search results

  1. G

    Elections 2010 Rise and fall of CUF

    Nafikiri CUF wataanguka kwa kujihusisha na CCM hii itakifanya chama cha CHADEMA kuwa ndo chama pekee kikuu cha upinzani huku CUF ni vibaraka wa CCM mfano wa Chifu Magustu Bhutelezi wa Afrika ya Kusini na chama chake cha Inkhata Freedom Party alivyokuwa akitumiwa na Makaburu
  2. G

    Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

    Tanzania ni watu wa ajabu sana badala ya kuchagua kiongozi kwa kufuata uwezo tunachagua kwa kufuata jinsia hivi kuna nchi zenye kutetea haki za wanawake kama nchi za magharibi? Lakini hutakuta wanatoa nafasi za ubunge viti maalumu kwa wanawake au wanachagua kiongozi kwa kufuata jinsia isipokuwa...
  3. G

    Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

    Litakuwa jambo jema sana na hapo Kikwete na kundi lake ndo watajua walifanya kosa kumtoa Spika Sitta
  4. G

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Hakuna awezaye kupambana na mafisadi katika hao watatu
  5. G

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Hii imedhihirisha mambo mawili kwanza uwezo wa Kikwete kuwa kionmgozi wa nchi ni mdogo sana hakufaa kuwa rais sura ndiyo iliyomsaidia kufika hapo na si uwezo alistahili kuwa waziri wa michezo na utamaduni ni jambo la kushangaza kwake yeye kushindwa kusoma dalili za nyakati na kufuata matakwa ya...
  6. G

    Elections 2010 Lowassa Angejua....

    Lowassa hatakiwi kufungua mdomo mla rushwa mkubwa yeye pamoja na Chenge na Rostam Aziz
  7. G

    Majimbo haya lazima tushinde kesi

    Hayo majimbo CCM wamechakachua wazi iwapo CHADEMA wataende mahakamani na kutenguliwa kwa ushindi wake itayapata yote
  8. G

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Hilo swali haliwezi kujibika bila kuwa na jibu la Kikwete alifanya nini ili akastahili kuwa kiongozi wa Tanzania? Tanzania tunatumia presidential sysetm unaposema CHADEMA imefanya nini ili kustahili kuongoza unatupeleka kwenye Parliamentary system of governing katika presidential system rais...
  9. G

    Elections 2010 Barua ya wazi kwa wana JF na Watanzania wote.

    Wananchi hawawezi kudhulumiwa haki halafu mtu mmoja anakuja na sera za kuwa uchaguzi umekwisha tugange yajayo ningependa kukufahamisha bwana Zawadi kuwa evolution hufanya kazi wakati mwingine na wakati mwingine haifanyi kazi isipokuwa Revolution kama ANC ilivyofanya dhidi ya Makaburu, John...
  10. G

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Nina maswali matatu hapa kwa wana wa Africa maana tunapoambiwa ukweli tunaona wanaotueleza ni wabaya swali la kwanza hivi inakuwaje Africa hatuendelei pamoja na rasilimali nyingi tulizo nazo? (najua kuna watu watadakia mabeberu wa ulaya sijui Singarpore, Malasia, Korea Kusini na Indonesia wao...
  11. G

    Elections 2010 Hivi ni kweli Slaa alipata kura hizi Karatu?

    Ng'wanangwa siku zinakuja hapa si uchonganishi ni ukweli kwanza CCM walikuja na hila zao kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila lakini kimewaprove wrong kwa kutwaa ubunge kila kona ya nchi isingekuwa uchakachuaji kingepata majimbo si chini ya 80 yakiwamo majimbo ya Kigoma mjini, Sumbawanga...
  12. G

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema...
  13. G

    Elections 2010 Hivi ni kweli Slaa alipata kura hizi Karatu?

    CCM wanalazimisha watanzania kutwaa nchi kwa nguvu ila ole wao siku zinakuja ule mtindo wa kuchezea wazanzibar kuwanyang'anya kura CUF na kulazimisha CCM kushinda hata kama imeshindwa hautafanya kazi Tanzania Bara
  14. G

    Elections 2010 Amani na usalama isiwe mwamvuli wa kuficha maovu ya ccm

    Inaelekea CCM wamechoka na amani ndo maana wanachakachua uchaguzi, hawa watu bila aibu wanafanya hivi halafu wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kuhubiri amani inabidi wajue kitu kimoja kuwa watu wakichoka na dhuluma hawajari tena amani.
  15. G

    Elections 2010 Hatma ya amani tanzania

    Watakao haribu amani Tanzania ni CCM wenyewe kwa sababu hawako tayari kuachia madaraka hata kama wananchi hawawataki jambo litakalo sababisha wananchi kuchua nchi kwa nguvu
  16. G

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Hivi hili neno kukimbilia madaraka mnalichambuaje kati ya Kikwete na Slaa nani ni mkimbilia madaraka? Kikwete alikuwa mbunge wa miaka tisa tayari akajitosa kuwania urais wa Tanzania wakati Dk Slaa alikuwa mbunge wa miaka kumi na tano akajitosa kuwania urais kati ya hawa yupi aliwahi mapema...
  17. G

    Elections 2010 Nani kasema tutibu madonda ya uchaguzi ya CCM, NEC na timu ya JK?

    Well said, hawa jamaa CCM walimpaka matope Dk Slaa pamoja na chama kizima cha CHADEMA kwa kuingiza ukabila na udini bila kujua kuwa CHADEMA kimekubalika kila kona ya nchi isingekuwa uchakachuaji kingepata zaidi ya viti vya ubunge 100 na Dk Slaa angelikuwa rais au angeshindwa kwa kura kama laki...
  18. G

    Elections 2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Lowassa aachane na hadaa zake kwa watanzania kwa sababu mwizi na jangiri mkubwa nani kamwambia kuwa watanzania wamechoka na amani hivi ni kwa nini CCM hufanay madhambi wakinyooshewa kidole wanaanza kuimba amani? Lowassa na wenzake wanatakiwa kujua kuwa Duniani kote watu wote ni wapenda amani...
  19. G

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Slaa aitaka NEC isitishe matokeo *Adai yanayotangazwa ni tofauti na kura za vituoni. *Asema yameandaliwa makusudi kumbeba mgombea wa CCM. *NEC yasema kama ana ushahidi awasilishe vielelezo. Na Tumaini Makene MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa...
  20. G

    Elections 2010 Safari ndefu ya ukombozi imeanza Chadema yagonga rasmi milango ya NEC

    Naungana na CHADEMA hii dhuruma haiwezi kuvumiliwa ingawa naamini Kikwete angeweza kushinda kutokana na mtandao wa chama chake lakini si zaidi ya asilimia 51% na CHADEMA ingepata wabunge zaidi ya 100
Back
Top Bottom