Search results

  1. C

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Let us hope ya kuwa hizo sahihi 4 zilizobakia zitapatikana ili hoja ipelekwe mbele. Bado nina imani kwenye kupiga kura zoezi zima litafanikiwa maana ni litakuwa na usiri hivyo kila mbunge atakuwa huru. Naamini Hata Pinda atajipigia Kura ya kutokujiamini
  2. C

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Naamini wabunge wengi wa CCM hawatakubali kuweka majina yao kwenye sahihi maaana mwisho wa siku watajulikana ni akina nani. Ila kwenye kupiga kura naamini CCM nao watapiga kura pia of no confidence. Hivyo mambo yataeleweka tu jumatatu
  3. C

    Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

    May He R.I.P
  4. C

    Regia Mtema is No More!

    dah!!!! May she Rest In Peace
  5. C

    Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

    Mtoa mada utadhani ni mwandishi wa habari? Anajitahidi kutengeneza heading ili kushawishi watu kusoma habari yake. Nafikiri hapa JF unawakilisha kitu kama kilivyo watu wanajadili. Kuhusu mada ni sawa kama Mh. alivyokuwa nasema maana ni kampeni, na alitakiwa kuvutia kwake. Kwani ulitaka aseme CCM...
  6. C

    Beatification of Lowassa starts here

    Nampongeza sana Mh. Lowasa, maana mbingu ipo kwa ajili ya waovu endapo watatubu na huwezi kutubu kama haujaonesha nia ya kumtafuta ikiwa ni pamoja na kudumu katika ibada na kujifunza jinsi ya kuenenda maisha mapya.
  7. C

    Kyela district hospital

    Sioni ubaya wa hii post, maana inaonyesha alikuwa anifahamu hiyo hospitali awali na sasa amefika tena hapo akakuta mabadiliko. It's a recognition of a well-done job, ambayo ndiyo inajenga. Kwani hapa JF ni kujadili mabaya tu? Nakupongeza kwa ur observation na nafikiri wahusika wamepata hiyo...
  8. C

    Mpinzani wa JK apeta TUCTA

    Hongera ndugu Mgaya. Usibweteke na wala usimkamie mtu, simamia sheria na kanuni za shirikisho unaloliongoza. Ila hili la wabunge wanaodai kuwakilisha TUCTA na wakati hawatambuliki, tafadhali naomba ulifuatilie.
  9. C

    Tukio la meli kuzama sio ajali tutafute neno sahihi waalimu wa kiswahili..

    Ndugu "harakat", in response to your concern, i would like to give out two definitions (actually according to Yahoo Answers) which can tell us whether it was an accident or just a "mihap". Then, latter on Swahili people will help to give us "a swahili term" which will be used to the incident...
  10. C

    CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

    Ila isije ikawa mkishachangia baadae baada ya chama kuingia madarakani mkaanza kudai mgao. Ndio tutarudi kule kuleee ambako wengine wako kwa sasa. Ila ni vizuri hiyo CTV ikianzishwa maana itawapa watanzania habari ambazo ni za uhalisia (Hazijachujwa kulingana na matakwa ya watu fulani)
  11. C

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Nashukuru kwa taarifa
  12. C

    Nape Nnauye, kujiuzulu ni uungwana

    Nani kakuambia unaweza kusukuma gari ukiwa ndani ya gari? Kama Nape ni mwanamageuzi wa kweli na ana nia ya dhati ya kutetea maisha ya walio wengi na ameshatambua ufisadi wa ccm inampasa sasa atoke nje ya gari ili aweze kulisukuma. Kinyume na hapo nitamwona kama msanii tu
  13. C

    Waziri Mkuu Tanzania - Mtu wa sita kwa hadhi nyuma ya wazanzibari wanne

    Serikali MOJA au ikishindikana ziwe TATU hilo ndio jibu. Ila serikali 2? ni kizungumkuti kingine.
  14. C

    Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

    mtoa mada mwenyewe hajui anachokiuliza. Nani kakuambia Mh. Rais alidanganywa. na alidanganywa nini.
  15. C

    Ajali ya Meli: SMZ yakataa misaada ya VODACOM

    Kwanza nawapa pole wote waliofiwa. Kisha napenda kukosoa baadhi ya wachangiaji wanaosema ajali imeshatokea ni mipango ya Mungu!!! Mungu sio wa wafu, hivyo hapendi kuona mtu anakufa wala hampangii mtu leo kufa na mwingine afe kesho nk. Ingekuwa hivyo basi anaupendeleo maana umri wa e.g. m-Japan...
  16. C

    Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?

    Hapa mimi ndipo ninapoona umuhimu wa katiba mpya. Itakayoelekeza serikali tatu (yaani Zanzibar, tanganyika na Muungano) au serikali moja ya Muungano. Kinyume na hapo kiini macho kilichopo cha serikali 2 hakuna ataeweza kutoa jibu kamili hata kama yuko kwenye system maana ni kiini macho tayari.
  17. C

    Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

    Duh! Ngoja nirudie kusoma tena kwa makini kwanza
  18. C

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    nashukuru kwa taarifa. Nafikiri mwisho wa siku mambo yatakuwa wazi
  19. C

    Daniel Porokwa abwagwa udiwani Monduli

    Mtoa mada ndo kwanza kajiunga leo. Hivyo inaonyesha alikuwa anafanya mazoezi kidogo
Back
Top Bottom