Search results

  1. R

    MWANZA: Madiwani na Watendaji wa jiji pamoja na Waandishi habari washambuliwa kwa mawe

    Mgogoro uliopo kata ya Mahina siyo tu kati ya Mkurugenzi wa Jiji na Mstahiki Meya James Bwire, ni mgogoro wa muda mrefu kati ya wenyeji na Bwana Bwire. Wenyenyeji wanadai Bwire na kundi lake kubwa la watu kutoka Mkoa wa mara hutumia ubabe katika kufanya maamuzi kwenye siasa, hususan maamuzi ya...
  2. R

    Nairobi: Bunge lamnyang'anya Freeman Mbowe gari la KUB alilokuwa akitumia

    Tumsubiri Spika Ndugai athibitishe kwanza
  3. R

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Hapa kuna walakini!. Hata kabla ya kuanza kutekeleza filosofi ya Chadema demokrasia ya chama chenyewe ilibakwa kwa kumteuwa mgombea wa nafasi ya urais kwa mtindo wa kubadilisha gia angani kama ilivyotamkwa na Mwenyekiti....
  4. R

    Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

    Ikitokea Kituo hicho kikavamiwa pengine na kutokea uhalifu mwanzishaji wa uzi huu na Mwananchi Said Yusuph watarahisisha kusaidia vyombo vya dola kuwakamata wahalifu ili sheria ichukue mkondo wake
  5. R

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Ni vema ikajulikana ili sheria ichukue mkondo wake..........Siyo siri zama hizi CDM pia inao maadui wa ndani zaidi ya CCM kufuatia mitafaruku ndani ya chama.
  6. R

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Mleta mada angefunguka kuhabarisha japo kwa kifupi jinsi msafara ulivyovamiwa na kwa udhibitisho kuwa waliouvamia msafara walikuwa ni watu wa ccm
  7. R

    Aibu: Shule ya Sekondari Ihungo Mkoani Kagera yafungwa kwa muda usiojulikana kwa kukosa Chakula

    Nasikia na Shule ya Sekondari Mpwapwa ilifungwa wiki kadhaa zilizopita kwa ukosefu wa chakula. Ni wakati sasa Serikali itatue tatizo hili haraka iwezekanvyo
  8. R

    JKT zaidi ya 300 waandamana sababu ya ajira

    Hivi ni kweli waandamanaji tajwa wote ni wahitibu wa JKT! au ni msafara wa mamba na kenge wanaweza wakawemo?
  9. R

    Lipumba afafanua maana ya kuwaita CCM ''Intarahamwe"

    Kitendeo alichokifanya Prof Lipuma akilingani na heshima anayopewa na jamii achilia mbali kuwa wasomi wanamtegemea sana katika fani ya Uchumi na masuala mengine kwani ni mingoni mwa watu makini ambao maandiko na matamshi yake vyaweza tumiwa na wasomi kwenye tafiti za kitaaluma. Kama ni kweli ni...
  10. R

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Ukimuona anayetaka kujinyonga anaaga fahamu kuwa anaogopa kufa
  11. R

    Mtikila: Nitajiuzulu Bunge la Katiba na kufungua kesi Mahakama Kuu

    Mananeno haya aliyasemea wapi??
  12. R

    Upotoshaji wa Matumizi ya helikopta za CHADEMA na elimu ya helikopta - gharama halisi

    Sidhani kama kama bei za chopa zilizoweka hapa jamvini ni sawa, cheki hizi hapa 1997 Md-Hughes Helicopter 600, Biglerville PA - 97042080 - Aerotrader.com
  13. R

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Hongera Kamanda Ernest tunatarajia maendeleo chanya ndani ya Jeshi la Polisi
  14. R

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    Mura andika urithi kabla ya kujinyonga ili Mkeo Maritina na wanao Nyagone, Mwita, Matinde, Robi, Tumaini na Bhoke wasije wakaleta mtafaruku wa mirathi. Waachie maagizo ya kuendeleza mapambano.
  15. R

    Mbunge GODBLESS LEMA akutana uso kwa uso na MAGESA MULONGO

    [/I][/COLOR][/B]Huo ni ushauri wa busara sana kwa wapenda amani na maendeleo. Haiwezekani kutuniana misuri wakati inafahamika kuwa Mbunge anapendwa na wapiga kura wake na hata kama itatumika nguvu kubwa ya Dola bado itakuwa ngumu hali kuwa shwari kwa kipindi kirefu hali ambayo haipendezi kwakuwa...
  16. R

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    Mzee Tupatupa hapo kwenye red umetupia. Ni vigumu kukuamini!!
  17. R

    Ikulu: Hatuhusiki na kumteka Dr. Olimboka

    Kwa vyovyote vile Dr. Ulimboka lazima angesema neno analofikiri litaufurahisha umma kwa vile wengi walikuwa wanasubiri tamko lake. Siyo sahihi kwa kila atakalotamka Dr. Ulimboka ichukuliwe kuwa ni kweli kwa kuwa hakuna upande wa pili wa kudhibitisha hilo. Yawezekana kabisa kuna jambo binafsi...
  18. R

    Mwanza: Wajumbe wa CCM wapata ajali mbaya, dereva afa papo hapo!

    Mnyisanzu, Pompo ni miongoni mwa wale wanaoufurahia ajali hii
Back
Top Bottom