Search results

  1. Bugota

    Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

    Kusema kweli nimeshangaa na mtu huyu mjinga anahitaji kuelimishwa kiasi gani. Sisi tunajadili mambo serious ya maisha yetu halafu mtu anakuja na picha ya ku download mtandaoni? Kama unaona jambo halikuhusu chukua muda wako fanya mambo yako waache wenye nia zao wasonge mbele.
  2. Bugota

    Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

    Mkuu Mbuzi hawa wanapatikana zaidi Wilaya ya Bihalamuro - Kagera (Kuanzia Runzewe, Nyakanazi) na baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kasulu-Kigoma.
  3. Bugota

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Soko mapenzi huko Kasulu Kigoma
  4. Bugota

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Wana Jamvi salama jamani. Nilikuja kwenye jukwaa hili nikiwa na lengo la kupata msaada wa tatizo langu lakini kimya. Nadhani sio jukwaa sahihi: ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++ Mimi ni mmoja wa wafugaji wadogo magharibi mwa Tanzania ninafuga ng'ombe na mbuzi wa kienyeji...
  5. Bugota

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

    RIP Aurlus Mabelee Nilipenda Nyimbo zake kadhaa kama Everlyne
  6. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Nipe mawasiliano na kama unawajua fika basi nielekeze ni wilaya gani na sehemu gani ili nitume watu wangu wa karibu walioko Mbeya wakathibitishe
  7. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Habari wana jamvi. Nimempigia simu huyu ndugu wa Rombo kasdema hafugi mbuzi bali kuku tu hivyo bado naendelea kufuta hawa mbuzi ( Savanna and Boer)
  8. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Moshi nina mfanyakazi wenzangu huku Kahama then nitasubiri akienda likizo nimpe nauli aende kuthibitisha kama wapo na tutaanzia hapo.
  9. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Mimi nakaaa Kahama kwa sababu bado ni mwajiriwa na nimeona siwezi kusubir kazi iishe ndipo nianze kuandaa mashamba/Mifugo na hapa ndipo watumishi wengi tunaharibikiwa. Anza kazi za ujasiliamali ukiwa bado uko kazini ili uiboost miradi ukiwa na nguvu isimimame then ikitokea umepoteza kazi basi...
  10. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Mkuu mimi sijafikia katika level ya Ranchi bali mfugaji mdogo kabisa. Huwa napeleka Dakitari kutoka Shinyanga anaenda shamba kuangalia, kutibu wanyama na kufundisha vijana wangu akiwemo na mwanangu na sipati shida kabisaa.
  11. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Ngoja nitawasiliana naye nione kama yuko serious tufanye biashara.
  12. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Hao Mbuzi weupe ndio Savanna Mkuu. Halafu Boer wenyewe huwa weupe lakini huku kichwani na shingoni ni lazima wawe wekundu ndio tofauti ya hawa mbuzi. Lakini sifa zingine wanafanana na ndio mbegu bora kwa ajili ya ufugaji biashara maana wanakua haraka zaidi.
  13. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Mkuu mimi niko nafugia Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kibondo karibu kabisa na Mto Malagarasi. Tuna share same interest ni PM tuongee mengi na kwa sababu mimi makazi yangu ni Kahama mkoani Shinyanga ni rahisi tukajiunga tukachangia usafiri tukaenda kuwaleta hawa mbuzi kutoka huko Arusha.
  14. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Asante sana Ndugu yangu kwa kunishauri vizuri. Nitatafuta mawasiliano yao ila sema Taasisi zetu huku Tanzania zimelala. Yaani hata hawajitangazi sijui wanataka nini. Hawa ndugu zetu waganda wametupiga bao. Mfuatilie huyu jamaa Hamiisi Semanda kwenye youtube utapata kitu.
  15. Bugota

    Natafuta Mbuzi bora wa Nyama Madume aina ya Savanna na Boar hapa Tanzania

    Wana Jamvi salama jamani. Karibuni katika jukwaa let us la kilimo na mifugo. Mimi ni mmoja wa wafugaji wadogo magharibi mwa Tanzania ninafuga ng'ombe na mbuzi wa kienyeji. Nina hitaji la kuboresha mbegu ya mbuzi wangu ili kupata mbegu bora ya mbuzi wa nyama wanaokua kwa haraka zaidi. Nina shida...
  16. Bugota

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Wana Jamvi salama jamani. Karibuni katika jukwaa let us la kilimo na mifugo. Mimi ni mmoja wa wafugaji wadogo magharibi mwa Tanzania ninafuga ng'ombe na mbuzi wa kienyeji. Nina hitaji la kuboresha mbegu ya mbuzi wangu ili kupata mbegu bora ya mbuzi wa nyama wanaokua kwa haraka zaidi. Nina shida...
  17. Bugota

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    John Mnyika nimesoma naye UDSM miaka ya 2005. Unavyosoma asome degree angalau moja unamaanisha nini kama sio upuuzi mtupu tu.
  18. Bugota

    Tukubali au Tukatae tarehe 24 Novemba 2019 tunapiga kura...

    Wajinga tu ndio wataendelea kupoteza muda wao kwa jambo hili ambalo kimsingi limeshaisha. Wawatangaze kuku au kenge sisi hatujali maana nao hawatakuwa na msaada wowote kwa mtu anayejitambua.
  19. Bugota

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Habari za leo Doctor, Asante saana kwa Ushauri wa kitaalamu. Habari za muda huu kiongozi. Asante saana kwa ushauri na mwongozo wa kitaalamu. Ninayo namba yako inayoishia 65 nitakupigia tuongee zaidi. Asante
  20. Bugota

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Habari za leo wana jamvi, Doctor mimi ni mfanyakazi ktk sector binafsi lakini pia mjasiliamali mfugaji ng'ombe wa asili jamii ya ankole na NYABUGESERA ( wana pembe za kati ila miili mikubwa sawa au zaidi ya Ankolle). Nina maswali mawili hapa na ningeomba ushauri na maelekezo ya nini cha kufanya...
Back
Top Bottom