Search results

  1. Babu Lao

    Waziri wa vijana na utamaduni wa Jamaica

    :D Waziri mwenyewe!!!
  2. Babu Lao

    Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

    Imekaa kama tetesi vile.... bila kapicha ka kutuaminisha!!! :eek:
  3. Babu Lao

    Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Unafikiri malezi ni rahisi kama kutoa amri na mlezi mkuu ni mama tena mama mzazi.... Ila ya ngoswe muachie ngoswe!!! :A S-confused1:
  4. Babu Lao

    Nipo njia panda

    Copy and paste inakera!!!!! :shock::shock:
  5. Babu Lao

    Nimekwama

    :eek2::eek2::eek2::eek2::eek2:
  6. Babu Lao

    Rubani anaomba msaada kwa mwenye uzoefu wa kusafiri angani (awe rubani)

    Huyo atakuwa mpeleka ndege za kichawi.... Yaani mlozi tu!!!!!
  7. Babu Lao

    Mke wangu hataki niende kazini

    Laleni tuuu.... Fainali siku ya kujifungua!!!!!
  8. Babu Lao

    Nipo njia panda

    Mtu mzima kama na huyo analipa oa.... Kwanza ana kazi yake... Usihofu, chukua kitu roho inapenda!!!! :eek2:
  9. Babu Lao

    Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

    Wote naona mnaongelea wanamuziki wa country weupe tu..... Originally country music ilibuniwa na watu weusi watumwa kama music wa kuwafuta majonzi baada ya kazi za kitumwa.... Gwiji mmoja mweusi wa country ni Darius Rucker.... Pata burudani kidogo hapa.... https://youtu.be/y5zCaRaJ-kE
  10. Babu Lao

    Mimi ni kijana masikini wa kipato ila nina utajiri wa upendo, utu na heshima. Natafuta wa kunipenda

    Ilikuwa mabinti ndio wanajitangaza hivi.... Sasa hata wanaume, hii balaa sasa!!! :hatari:
  11. Babu Lao

    Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    hii ni kwa vijana na watoto tu.... Na uzee wote huu presha ya nini???
  12. Babu Lao

    Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

    Njia pekee ya kumpata huyo wa hizo sifa zako ni 1. Kuiba mume wa mtu au 2. Kumpata mjane.... But all in all nice try!!! :confused2:
  13. Babu Lao

    Lowassa anafanya kampeni za wazi

    Safi sana vita vya panzi....... :A S-rap:
  14. Babu Lao

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Kazini tumefika.... issue sasa ni kurudi home...... :shocked:
  15. Babu Lao

    Kama Ulikuwa Haujawai Kuwaona Panya Road Waone Hapa

    Hii si mchezo yaani walijikusanya wakaenda studio kupiga picha???? :A S-eek:
  16. Babu Lao

    CHADEMA wageukieni wazee,vijana wengi hawapigi KURA!!

    Kweli kabisa, bila kujenga misingi kuanzia ngazi za chini kabisa CDM wasitegemee kushinda..... Hela zote wanazopata zinaishia makao makuu na kupanda chopa.... Wataendelea kuvuna wanachopanda :embarassed2: !!!!
  17. Babu Lao

    Nimeachiwa mtoto ndani ya basi

    Pole tena..... hongera sana mkuu hiyo ndo zawadi yako atakujakuwa mwokozi wako huyo!!!
  18. Babu Lao

    Unaishi na mwanaume au mwanamke ambaye unadhani si chaguo lako

    Ofcourse ndo ashajitwisha hivo.... Na ndio maana siku zote mnaambiwa chunguza tabia kwanza.....
  19. Babu Lao

    Unamsomesha mpenzi wako ili aje awe mke anakupiga chini akifanikiwa.

    Mmmmhhhhh hii sentenso ina ukweli 100% ila huwa hatupendi kuifikiria tunapokuwa nanyi!!!!
Back
Top Bottom