Wapalestina wanaendelea kunyang'anywa ardhi yao na walowezi wa kiyahudi. Wayahudi wanajenga makazi kwenye maeneo waliyoyatwaa toka kwa wapalestina kinyume na maazimio ya umoja wa mataifa. Wanavyoteswa wapalestina ni sawa na afrika kusini walivyokuwa chini ya makaburu. Africa kusini imeliona hilo...
Jamani jamani. Nakubaliana na Abdul Nondo asilimia Mia. Sheria za nchi zifuatwe. Na hayo ndio Abdul anasisitiza. Polisi wamevunja sheria. Iko wazi. Wawajibishwe. Hata kama ni kweli kuwa hao ni panya road. Polisi wametoa wapi kibali cha kuwaua? Naililia Tanzania. Tinakoenda siko.
Nimesikitishwa sana. Wanakijiji wako tayari kutoa ushahidi. Polisi walipokea rushwa ya kuanzia milioni moja hadi 2.5. Kwa miamala ya simu.
Kuna shida gani ya kuunda tume huru kuchunguza? Jamani nchi inakwenda wapi hii?
Wanajeshi walipiga sana raia na kushiriki kuharamisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020. That is the fact na CDF alishiriki uchafuzi huu. Dhambi anayo. Hasafishiki kwa hili.
Kosa kubwa alilofanya huyu CDF anayeondoka ni kuruhusu jeshi kuingilia uchaguzi wa 2020 hasa Zanzibar. Hapa aliboronga na ataingia kwenye historia. Video clips tunazo.
Hata mgogoro wa Msumbiji ilibidi Rwanda iruke juu ya Tanzania kwenda kuokoa jahazi.
Tanzania tumebaki kupambana na magaidi wa ndani wa shilingi laki 6.
Ama kweli hii ndo Tanzania yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.