Search results

  1. T

    CRDB Bank: What a terrible experience!

    Tatizo sio benk zetu bali ni bot, kwasa wanajidai wana skili sana, lakini washindwa kuona idadi ya mabenki inaongezeka lakini watumiaji wanapungua!!!! Kila zali wapo!!!@ lakini wanapeta tu. Kama bot habadiliki wanaoweka akiba na wanaotaka kukopo wataendelea kulalama
  2. T

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Mkakati wa nini wao ni civil servants wanatakiwa kufika kazini saa moja na nusu kama hafika muda huo futa kazi baba wataifa akitumia watu wa darasa la pili kuendesha nchi. Watanzania lazima tuheshimu kazi rushwa ndio imetufikisha hapa tulipo
  3. T

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Wafanyakazi wa makampuni binafsi, mabenki , bot wote wanajaa st. Joseph na azania front kuanzia saa kumi na mbili wengine wanasoma magazeti kwenye vibanda. Ili mabadiliko yatokee inabidi ngazi za juu washughulike na mambo hata tunayodhani ni madogo.
  4. T

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Governance ndio imetufikisha hapa tulipo rich but dying from poverty
  5. T

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Fact you can not builf strong intitutions if you have weak leaders.
  6. T

    Mizani ya ufisadi: CCM bado ina kazi ya kujisafisha, muda wa kushangilia bado uko mbali sana

    Issue ya lowasa is a closed chapter let us use what we have.
  7. T

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    This is s good proposal as much of our money in out of the banking system. It is a good option.
  8. T

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    Mgonjwa wa kushikwa mkono kugombea uraisi kwa agenda ya mabadiliko!
  9. T

    Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Basi kaeni kimya mnaandamana kwenda white house! Du
  10. T

    Kasi ya Rais Magufuli yampa wakati mgumu Godbless Lema

    Mkumbuke dar sasa kuna many conference centres mpeni lema tupate biashara dar
  11. T

    Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Tunapo sema jecha hanamamlaka ya kufuta uchaguzi wakati keshafuta mnamaana gani? Mamlaka ipi itatengua uamuzi wa jecha? Mbona hakuna aliyeenda mahakamani? Tuache usanii wapemba eanajuana wenyewe
  12. T

    Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Anachosikitika lowasa sio kupata uraisi bali kukosa phd ya kupewa@@@@@
  13. T

    Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

    Kwani seif amejiuzulu umakamu wa raisi? Mbona naona anatumia gari ya makamu wa raisi@ tuseme ukweli siasa za znz hatuzielewi ya ngoswe mwanchie ngoswr
  14. T

    Wazanzibari wanasubiri tamko la Maalim Seif

    Mbona seif hajajiuzulu umakamu wa raisi? Ukwa mwasemaje?
  15. T

    Kati ya Godbles Lema na Monaban, yupi ana sifa za kuwa Mshenga wa WanaArusha Serikalini?

    Lema has expired hivi ana sgenda gani. Wana arusha election is over hamtaki uwaziri au mnataka maandamano. Ngoma imeondoka mtaisoma namba. If I was a resident of arusha I will not vote for lema as he has nothing to deliver. In pollitics no friendship is permanent tosa lema
  16. T

    Uchaguzi mdogo CHADEMA inakufa kwa kasi kanda ya kati

    Boma ng'ombe ni stronghold ya cdm the message is wapiga kura wameanza kuelews kuwa lowasa sio raisi tena hadithi ya kuibiwa ni uongo and election is over jmp ni president for the next ten yrs
  17. T

    Kati ya Godbles Lema na Monaban, yupi ana sifa za kuwa Mshenga wa WanaArusha Serikalini?

    Mie nadhani hii ni zaidi ya viroba wa arusha wanataka nini raisi jpm, yeye ndio mwenye pesa mnamchagua lema iwe nini? Issue ya ukombozi is over na biashara imeanza hadi 2025. Watu wajifunze uhalisia na sio ushabiki? The electio n is over arusha wake up!
  18. T

    Hongera Lowassa, Hongera UKAWA

    Sasa mbona juzi kule bungeni wana ukawa hawakuwakilisha suala kuibiwa kura za lowasa? Au hakuibiwa bali ni usanii wake tu? Kwa suala la seif lisu alikua msemaji wa ukawa lakini zijaona anatolea macho wizi wa kura za lowssa? Mimi nadhami lowasa anajua hakuibiwa kura lakini atawaambia nini...
  19. T

    Uchaguzi wa Zanzibar usimamiwe na UN

    Tatizo la wana viroba upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo. Seif anaongea na shein kila siku akiulizwa anasema wakati ukifika atasema . Nawawashangaa wana kiroba kulichukulia suala la znz kwa pupa wakiongozwa na mbatia!
  20. T

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Hizo fedha hazikuwa za serikali hiyo moja mbili mr president alitoa maagizo kabla ya party just use you small brains wakati wansnunua vitu vya party na vitanda vikaninuliwa
Back
Top Bottom