Search results

  1. G

    ccm ccm ccm ccm

    ivi kwa nini msije na data tukaanza kuserekea macho na msikio ni Arumeru
  2. G

    ratiba ya mazishi ya rejia

    Ok, ni vizuri watu juishe wana JF ratiba kamili, ili watu waweze kufika hilo eneo , Hakika Mwanaharakati kama Regia anagusa wengi na ndio maana watu tupo informed kwa kila jambo , Mungu anajua the root cause ya ajali yake ila kama ni mwanadamu anahusika ajue kuwa auaye kwa upanga naye atakufa...
  3. G

    Mkapa amwokoa Kikwete, azima hoja ya kumng'oa madarakani

    Ee Mungu eponye Tanzania, mi nashangaa ivi hawa watu wanatafuta nini kwenye nchi yetu pamoja na mapesa yote waliyo nayo, 2015 ni wakati Mungu kuiponya Tanzania hakika atatusaidia Mzee Gomezi
  4. G

    Mshipa wa aibu kwa CCM umekatika

    Wadau matokeo yameshaanza kutangazwa huko Igunga kwa baadhi ya Kata , Chadema kwa mjini tunaongoza ila kwa difference ndogo wasi wasi wangu ni kule Vijijini CCM B QUESTN, Mungu Ibariki Tanzania na Ibariki Chadema , Magamba wapotelee mbali
  5. G

    Nape aandaa waraka wa kuwakana CCM

    i real wonder, na nitaendelea kuwashangaa CCM, Sijui watawaeleza nini wananchi na sherehe zao walizofanya wakizunguka mikoa kuanzia dodoma , moro, pwani hadi dar kwa mbwembwe kusherekea kuvua magamba alafu cha ajabu sherehe wamefanya kabla magamba hayajatoka , ngoja yaanze kuwadhuru hayo magamba...
  6. G

    Chadema ni chama cha SIASA.............

    Hujakatazwa kusema ila angalia mambo ya kusema wakati mwingine sokomoko mzee gomezi
  7. G

    1,000,000 >>>50MPs Zanzibar :40,000,000>>>>189MPs Bara

    Katiba ndio source wa haya yote mabadiliko yanatakiwa sana
  8. G

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    sina uhakika sana na hiyo taarifa mana ni mara nyingi ITV Wamekua wakiahidi kuwa na midahalo ya kipindi maalumu cha Dr. Slaa ila baadae haikuwepo ngoja tusubiri. BIG UP MZEE GOMEZI
  9. G

    Chadema ianzishe mfuko maalumu wa kuichangia

    Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala. Wananchi tupo tayari, tumechoka kutawaliwa na mafisadi , tupo tayari kuichangia CHADEMA Na tuna nia...
  10. G

    Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa

    ivi mjadala wa udsm na UDSM unatuhusu nini hapa nani asiyejua kuwa UDSM iko juu ya vyuo vyote kwanza kihistoria na kuwa na vitendea kazi au unataka kuifananisha UDSM na hiyo UDOM yako na vyuo vingine vinavyozuka kama uyoga, ambavyo hata library havina na hata kama inavyo hakuna vitabu professor...
  11. G

    Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

    tunamkaribisha sana ni mtu makini na ana hoja makini na anchukia ufisadi
  12. G

    Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

    Kwa maeneo ya cumb ani kwenu nakubali ila kungine nuksi n a balaa
  13. G

    Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

    Si kila mahali ndugu yangu otherwise ushamba utakua unawasumbua na uzungu mkuku
  14. G

    Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

    Mengine hayana maadili lile ni tendo takatifu maadili yawepo
  15. G

    Dr. Bana, Heche, Mkosamali na Kafulila LIVE ON STAR TV

    ila kafulila na yule bwana mdogo nawashangaa sana wanaeleza vitu ambavyo sikuwategemea kabisa na huyo bwana mdogo ole wake angekua UDSM MGONGO FIMBO ANGEKUKAMATA WEWE BAHATI YAKO NATUNGEKUTOA MAGAZETINI UNGEJUA SIASA ZA BONGO
  16. G

    Dr. Bana, Heche, Mkosamali na Kafulila LIVE ON STAR TV

    aisee huu mjadala umenipita mimi nilikua naangalia kwenye tv ok
  17. G

    Chadema yatoa masharti kurudi bungeni

    hii habari haijakaa vizuri mkuu
  18. G

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    ulifikiri huku kuna vyeo vya kupendeleana na uswahiba huku ni maslahi ya taifa tu, huku hakuna jino kwa jino wala uswahiba huku ni mapambano wala hatuna mchezo wala kujipendekeza , thread zetu zilivyo ndivyo tulivyo. Mzee Gomezi
  19. G

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    sikuona sababu ya Zito kwenda kuongea kwenye vyombo vya habari, ulishawaona lini sisiem wakitofautiana na kwenda kukimbilia vyombo vya habari, tunajua kuwa kuna watu ndani ya chama wanatumiwa vibaya nasema mtapita , mimi hapa simuelewi zito hata kidogo kwani angekaa kimya kungemuumiza nini...
Back
Top Bottom