Search results

  1. michael doto

    TCRA: Dstv na local channels za bure Tanzania

    AZAM hakuna bure wewe wanakata zote usitudanganye.
  2. michael doto

    Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    inaonyesha unajua unacho andika,sasa hao washabiki wa SIMBA hapo juu sijui hata kuielewa proposal ya MANJI hawakuielewa au ni wavivu wa kusoma.?
  3. michael doto

    Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    aachane vipi au ndiyo mnahusika nyie huko manispaa?kwanini walitangaza zabuni au hamtaki jibu la manispaa litumbuliwe?acheni U SIMBA WENU NYIE.
  4. michael doto

    Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Serikali ijenge shule zake vipi wakati ina zake nyingi tu,au unamiliki shule unaogopa rungu nini?
  5. michael doto

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    na kweli anachonganisha nakubali,kuleta vitanda na madawa hospitali,barabara mwenge,wizi wa TRA na Bandarini,posho za wabunge na Majipu mengine alitakiwa kuyaacha tu kama huyo eeeeh?
  6. michael doto

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    na kweli anachonganisha nakubali,kuleta vitanda na madawa hospitali,barabara mwenge,wizi wa TRA na Bandarini,posho za wabunge na Majipu mengine alitakiwa kuyaacha tu kama huyo eeeeh?
  7. michael doto

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Uzuri wa startimes mkipigiwa simu mnapokea hapohapo si kama azma simu huwa haipokelewi kabisa.
  8. michael doto

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    uzuri wa startimes mkipigiwa simu mnapokea hapohapo si kama azam ambao huwa haipokelewi kabisa simu.
  9. michael doto

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Siku ya kuzaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwamba ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.
  10. michael doto

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Siku ya kusaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwambwa ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.
  11. michael doto

    Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    BUSH LAWYER HUYO.Acha wawe karibu ile kesho wawahi.
  12. michael doto

    Vikwazo vitano safari za nje

    safari safari ndiyo nyie mlikuwa mnatetea safari hata za JK kumbe hata pombe zilikuwa zinamkera.
  13. michael doto

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Dawa wapelekwe toyota kila mtu achague si kupewa pesa.
  14. michael doto

    TBC radio zina tatizo?

    mnaosikiliza TBC ni wachache mno nchi hii,hiyo TV ndiyo kabisaa,zimekaa ki CCM sana hazifai.
  15. michael doto

    Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

    jamani acheni asafishe ili afanye kazi zake vizuri,mambo ya huyu ni MWENZETU futa kabisa its OVER.
  16. michael doto

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    acha afanye kazi kama afanyavyo sasa huo utaratibu ndiyo umetukwamisha miaka yote,angefanya utakavyo vitanda MRI NA CT SCAN VINGEKUWA BADO.
  17. michael doto

    Machali na Mkosamali wafuta kumbukumbu ya Zitto bungeni

    Mahiri wapi yuda yule wewe
  18. michael doto

    Mkutano wa CHADEMA Tabata shule wadoda

    Chadema hii watu wasiwepo aaah wapi?
  19. michael doto

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    angetangaza arusha lema kashindwa aone
Back
Top Bottom