Search results

  1. milito23

    Achilia mbali ruzuku na michango, CCM ina vyanzo gani vya mapato?

    viwanja vya mipira + open space (parkining) + majengo yao makubwa yalioko town wanakodisa. Chadema vyanzo vyao utata bado cjajua .
  2. milito23

    Kwanini vyombo vya usalama tu?

    Na maswali mengi najiuliza majibu bado sijapata kwanini imefikia hali hii. kwanini vyombo vya usalama kukosa utetezi katika taifa ili, Wananchi uona wanakosea katika kufanya kazi zao upelekea kukwamisha ufanisi wao wa kazi na swala zima la kiusalama katika taifa ili? Kwanini wanaonekana ni...
  3. milito23

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    ni ngumu kuadithia picha ambayo imeangaliwa na wengi kwani hata hivyo mweshimiwa katumia busara kubwa kunyamazisha dereva wake na vilevile watu wamechoka na uonevu unaojitokeza kila siku subiri yakukute utaelewa ila ukicheki unaona kabisa busara imetumika sana .... Ila akuna mtu juu ya sheria...
  4. milito23

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    sasa gari lilikuwa limesimama ila si kupaki kwani dereva alikuwa ndani ya gari pembezoni mwa barabara hivyo walipaswa kumwamulu kuondoka kama kulikuwa kuna viashiria vyovyote vya kiusalama na kama kulikuwa na kibao ambacho kina mwamulu kutokusimama kuna taratibu pia .. Mtu mwenye akili na burasa...
  5. milito23

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    hata ukiwa sehemu uluhusiwi kusimama mara nying unafatwa na kuambiwa uluhusiw kusimama hapa unaitajika kuondoka ila si umesimama hapa twende kule wanataka kukupeleka wapi.... hata ukiwa benk unambiwa hapa maluhusiwi zaid ya dk kaza unaitajika kusepa kwa sababu zakiusalama ila kwa ile hali...
  6. milito23

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    eti dereva yupo ndani wanasema amepaki umeona wapi na kwa aheria zipi wamezidi hawa mara nying utengeneza mianya ya mtu kutoa kitu kidogo lakini awana lolote tumewachoka walala hoi wana nyanyasika sana...... Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
  7. milito23

    Malima akamatwe (obstruction of justice)

    Je unajua maana halisi na tofauti ya kupaki na kusimama barabarani ....!? ukinipa tofauti za vitu hivyo utajua nani yupo sahihi madaraka yakulevya upelekea watu kufanya hvyo mamlaka za watu zipo mikononi mwao kwani akuna hata mtu anayekemea kukaa kimya ni busara ila ukizidi ni uchwala...
  8. milito23

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

    ila kikubwa si vyeti mbona me ninavyo mpaka vya ubatizo ndugu kabla awajitokeza kupigana na kuprove kauli zao kwann asifanye hvyo wewe kutuaminisha ukimya una maana sana ila majibu yanakuwa kichwani mwa mtu mwenye anachokifikilia nini utakacho zungumzia tunatamani kujua ukweli wewe ila inafika...
  9. milito23

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

    naona kubebana hakuna sasa mnamua kujipendekeza sasa mwandishi unatafuta kiki tu akuna jipya mlishatuaminisha kwa maneno yenu yakibabe akuna utamu wowote wafanye kweli swala watalichukulia wepesi ila ni zito sema uongozi kipaji sana . "eti diploma sikuhiz wanavaa majooh " hapo ndo utajua elimu...
  10. milito23

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    vita hii kimitazamo ni kubwa kwa savabu unagusa moja kwa moja vyombo vya kiusalama kwa namna moja au nyinge kutokana nq hali halisi hivyo basi wakitaji kupambana mabadiliko lazima yafanyike ila viapo tu aitoshi pesa inakiwa inanguvu sana kuliko kingne Je ? wameboreshewa mazingira mazuri...
  11. milito23

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    kwani awana ndugu jamaa na marafiki au..
  12. milito23

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    yanawezekana tu yote ila siko sure sana kwa hilo..
  13. milito23

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    vyote vinawezekana tu ila watu wanapiga pesa nakusepa katika miradi na harakati mbalimbali kwani ukuonaga au kusikia kuhusu mapambano dhidi ya malaria semina kibao shoo kibao wapambanaji kibao mpaka vyandarua kibao ila dah tukiamua tunaweza ...!?[emoji6]
  14. milito23

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Vita hii ni ndogo kwa mtazamo wa kiroho ila nikubwa kwa macho ya kawaida na mitazamo ambayo si chanya bali ni hasi katika jamii zetu kama mapambano yangekuwa ya kwetu sote tungeweza kwani katika hali ya umoja kila kitu kinawezekana tukiamua tunaweza .Umeshajiuliza wangapi wanaandika historia...
  15. milito23

    NIT diploma

    majina ya bachelor wameshatoa
  16. milito23

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    kwani wameshatoa majina na kama unayo naomba nitumie yan weka no check..
  17. milito23

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    kuzungumzia swala LA escrow si la kukurupuka umeona msimu uliopita walikurupuka saivi ndo kama hivyo tambua aliye tatua kishikaji si uyu wa sasa tusubiri tuone ndo maana unambiwa serikali kesi nyingi za msingi zinashindwa na kuingizia TAIFA hasara tu kama mfatiliaji mzuri utakuwa unanielewa ndugu .
  18. milito23

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    unajua sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa Mara moja kikubwa muda na iman tambua mambo mengi yanashindwa kufanyika kutokana na siasa kuweka mbele alafu uzalendo nyuma najua kuna mengi Ila kwa hata zuri moja ushindwe kumpongeza INA maana unashindwa kumpongeza mtoto akiwa amefaulu kwa sababu...
  19. milito23

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    me nipo na ntazidi kuwepo so mezoea kukosoa Leo nimesifia sasa Ila najua kuna ujumbe umeupata tu hapo ..
  20. milito23

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    vita ya panzi furaha kwa kunguru wakati nyie mkipigana na kugombana wenzenu wanazidi kujijenga zaidi ntasifu panapostahili na ntakosoa panapoitajika kukosolewa uwezi mfanya MTU amini unachoamini wewe Mnasihi uchama na usiasa usilete katika swala LA maendeleo polen sana mtakao kwazika ni ayo tu.
Back
Top Bottom