Search results

  1. mtarimbo

    Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    vip russia ,kwa hiyo russia kukwama pale ukraine ni kwamba ni dhaifu?kwamba hata uturuki ana uwezo wa kumchakaza russia?uwe unachambua mambo kwa mapana hivyo vikundi vya kigaid vinapewa suppot na maadui wa israel ndio maana vita inakua ngumu,hata ukienda swala la russia pale ukraine hayupo peke...
  2. mtarimbo

    Uingereza haina uwezo wa kupigana na Urusi hata kwa miezi 2

    umesahau kumalizia hiii (ni mimi mchambuz wa maswala ya kivita toka itv mtoni mtonganiiiiiiiii)
  3. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    muwe mnapumnzika wakuu wengine mnakeshea humu utafikiri vita ni ya kuisha kesho ,hii vita hadi 2024 ,pishen dam mpya tumewachoka sasa story ni zilezile ,hakuna jipya
  4. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kwa hiyo ukraine anasonga mbele kimazingaumbwe au,maana bila mizinga huwez songa mbele hata kidogo
  5. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Biden;If russia will stop fighting there is no war,and if ukraine will stop fighting there will be no ukraine anymore.Wewe ndiye una akili siyo nenda kampe ushauri huo uliojaa mahaba na uchungu wa kupigwa
  6. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukweli mchungu Vladimir Putin isn’t just losing in Ukraine — he’s set Russia’s economy back 40 years Vitaliy Katsenelson Fri, November 18, 2022, 3:28 PM·6 min read In this article: Vladimir Putin President of Russia Vladimir Putin isn’t just losing in Ukraine — he’s set Russia’s economy...
  7. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na nyie mtujibu mnapodai mnapigana na nchi 30 huwa mna maanisha nn?
  8. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa hiyo mnaposemaga mnapigana na nchi 30 huwa mnamaanisha nini nyie pro RUssia
  9. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kumbeeeee Kremlin admits it attacks Ukraine's infrastructure to force Zelenskyy to negotiate Ukrainska Pravda Thu, November 17, 2022, 3:55 PM·1 min read In this article: Volodymyr Zelensky Sixth and current President of Ukraine Dmitry Peskov Russian politician and diplomat (born 1967) The...
  10. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tarehe 16 ni siku nying acha mahaba Alichoongea uongo nini hapo . Wewe ndiye mjuzi tuambie mmefanikiwa nini ?
  11. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kumbe componets za makombora ya iskander zinatoka US The Iskander missiles wouldn’t be accurate if the Navis Design Bureau didn’t use the intellectual and technological resources of U.S. companies. Deliveries from Analog Devices and Texas Instruments were carried out through intermediary...
  12. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    7:50 pm Pentagon chief: NASAMS intercept all Russian missiles in Ukraine. The U.S. Defense Secretary Lloyd Austin said that the NASAMS air defense systems provided to Ukraine have a "100% success rate," Sky News reported.
  13. mtarimbo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Top US general: Russia has lost strategically, operationally and tactically From CNN's Michael Conte Chairman of the Joint Chiefs of Staff General Mark Milley speaks at a press conference at the Pentagon in Washington, DC, on November 16. (Mandel Ngan/AFP/Getty Image) Joint Chiefs of Staff...
  14. mtarimbo

    Hivi kombora lililopiga Poland ingeshutumiwa Venezuela au Iran Biden angekuwa mpole hivi?!!!!

    Iran mbona alishapiga kombora kwenye military base ya US mbona haikutokea vita. Wewe unavyofikir vita vinaamuliwa kirahisirahisi .Vita ni hatua ngumu sana usifikiri ni kama kwenda chooni
Back
Top Bottom