Search results

  1. H

    Ethiopie hiyo

    Haya maendeleo yako Adis tu, ukitoka nje ya Adis hali ni tofauti kabisa
  2. H

    Afunga Ndoa na Punda

    Mi nimeshusha pumzi baada ya kuona kuwa kumbe mwanaume ndio anamwoa punda, na sio mwanamke anaolewa na punda
  3. H

    Picha ya Kumalizia Mwezi Novemba

    Tofauti na nyinyi wenzangu, mimi nimejawa na huruma maana namwona huyu kama ni mtuhumiwa asiyejiweza anasaidiwa na askari akiwa ameshika faili la kesi kutoka chumba cha mahakama. Bila shaka hawezi kutembea mwenyewe pengine huenda kwa sababu ya kipigo. Nitajisikia vibaya zaidi kama mahakama...
  4. H

    Hujafa Haujaumbika:Story ya kusikitisha sana

    Jamani msiwe mnaleta stori za kusikitisha namna hii, mnatuharibia mood siku nzima!
  5. H

    Hakuna haja ya kufanya DNA

    Lakini mjue "blaza" wake ni copy right na huyo baba mtu.
  6. H

    Haya ndio maisha yetu

    Mimi sijayapenda mazingira, sehemu kubwa ya miti sio ya asili. ukiangalia vizuri ni miti aina ya "eucalyptus" ambayo imepandwa baada ya miti ya asili kutoweka!
  7. H

    Ethiopia hiyoooo

    Pamoja na maelezo na picha za kuvutia, inakuwaje basi Wahabeshi wengi wanakamatwa hapa Bongo kama wahamiaji haramu!? Na wengine wanafia kwenye makontena! Hawataki neema hizi?
  8. H

    Place to be

    Hapa bila shaka ni Jinja kwenye chanzo cha mto Nile ambapo "mvumbuzi" wake Speke alikaa masaa kadhaa ikishangaa chanzo cha mto huo
  9. H

    Enzi za madiba

    Akiwa na Walter Sisulu
  10. H

    Believe it or not

    May be the white men were deceived by the look of the Aborigines the indigenous Australians. For a moment I was also deceived by the picture above. I am told these men are considered to be the most handsome and good looking men! The bottom line is they are genetically human beings, and they can...
  11. H

    The Monalisa Smile Painting....!!!

    Moja ya the so called maajabu yake ni kuwa pamoja na umaarufu wake, picha him haina nyusi. Lakini pia ilisadikiwa ilichorwa na Mtaliano maarufu aliyekuwa anaitwa Leonardo da Vinci. Mwanamke aliyechorwa inasadikika kuwa ni Lisa Gheraldini mke wa Francesco del Giocondo ambae alikuwa mfanyi...
  12. H

    upendo wa mama

    Yote yaliyozungumzwa hapa ni ya kweli kabisa. Ila najiuliza ni utaalam gani umetumika kutambua kwenye hii picha kwamba hawa wote waliobeba watoto ni kina mama? Je, haiwezekani baadhi yao au hata wote wakawa wanaume? Au kwa sababu nanihii zao hazionekani?
  13. H

    umefika wakati Tanzania tuache masihara na utani,eti huu ni uwanja wa ndege

    Do we really and economically needs airports in every towns in Tanzania? Take for example Songea has a tarmac runway of an airport with relatively nice buildings including VIP longe ya kishikaji and control tower, but hardly 3 small aircrafts lands in a week. BP used to have a small depot, but...
  14. H

    Who Is This?

    Shaggy
  15. H

    Tukumbuke zamani wale maplayers.

    Wa kwanza kutoka kushoto ni Abdallah Chuma alikuwa ni Centre Half (No 5) wa timu ya taifa kwa miaka 10, alikuwa akitokea timu ya Bandari Mtwara, anafuatia Zimbwe kutoka moja ya timu za Tanga sina uhakika kati ya Costal Union na African Sports, anafuatia Kitwana Manara Centre Forward wa timu ya...
  16. H

    Wahindi kwa mambo ya uchawi mwisho jamani nimepiga picha na wahindi germany

    Hakuna uchawi Ustadh, hiyo ni trick tu, huyo wa chini lazima avae nguo yenye mikono mirefu inayoficha nguzo imara ya chuma iliyounganishwa na sehemu 2 za kukaa, sehemu moja ameikalia yeye na kutengeneza "balance" ya sehemu ya pili ameikalia huyo anaening'ining'ia hewani.
  17. H

    Picture of the day.

    Kivumbi atakapokutana na waya za Tanesco tena za high tension
  18. H

    Jamaa anashangaa nini?

    Kwa sisi Waswahili ni kweli huyo jamaa anashangaa ubunifu, lakini kwa wenzetu wazungu huyo jamaa amefura kwa hasira maana jirani yake ni kama amemwambia "kiss my ass" maneno ambayo sio mazuri
  19. H

    Should I Run?

    Mh! Usisikilize maneno ya watu ukakimbia, ana mguu wa kuku huyo
  20. H

    Bar crawl

    An man drinks at the pub until they close. He stands up to leave and falls flat on his face. He tries to stand one more time and falls again. He figures he’ll crawl outside and get some fresh air and maybe that will sober him up. Outside, he tries to stand up and falls flat again. He gives up...
Back
Top Bottom