Search results

  1. I

    UDOM- watangaza kazi tena- Administrative positions

    Wakuu habari ya mihangaiko ya maisha. Sina uhakika kama hii taarifa imeshawekwa hapa kwenye forum. Kwa taarifa tu nikwamba UDOM wametangaza kazi za administrative. Tafadhali fuatilia hii kwenye The University Of Dodoma. Pia unaweza kudownload attachment niliyoambatanisha. Ni kazi nyingi kidogo...
  2. I

    Natafuta scholarship ya PhD Kwa chuo cha hapa Tanzania

    Asante sana baby lily. Mola akubariki
  3. I

    Gombe National Park

    Mimi nilianzia kazi kijiji mtiriangu huko kondoa , baada ya miaka mitatu nikahamia Itiso huko huko Kondoa na kukaa miaka mingine minne. Sasa hivi nimepenyeza niko mitaa ya posta (DSM). Kwa hiyo unahitaji uvumilivu. cha muhimu ni kukaa kimkakati zaidi usijisahau utafikia sehemu unayohitaji. Uwe...
  4. I

    Natafuta scholarship ya PhD Kwa chuo cha hapa Tanzania

    Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa ngazi ya PhD kwa wanafunzi wanaotaka kusomea hapa Tanzania. Asanteni kwa ushirikiano wenu
  5. I

    TuTuhuma za ufisadi ulioibuliwa na shelukindo: wataalamu wa mahesabu tupeni mchanganuo wa hizi fedha

    Serikali ya magamba imekuwa kila siku inakuja na maelezo ya kuchakachua kuhusu tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa serikali. sasa sijui watatuambia nini kuhusu huu ufisadi wa bil 1,050,000,000/=. sijui Jairo atatoa mahesabu gani kuhalalisha hiyo hesabu kubwa ya kifisadi namna hiyo kwamba...
Back
Top Bottom