Search results

  1. N

    Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

    Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu. 1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja. 2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha...
  2. N

    Natafuta hizi bahasha au kwa mtu anaejua kufanya customization

    Kama tittle ilivyo nahitaji BAHASHA kama hii kwenye attachmenti NB: hii ni sample tu. Nahitaji isiyo na maneno ya msd. Nahitaji mtu anaweza kufanya. Printing ya hii kitu
  3. N

    Utitiri wa madalali wa magari ni janga kwa Wafanyabiashara

    Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja. 1. Madalali wengi wana tamaaa(greed) Madalali wengi wana tamaaa. Mtu Ana ndoto ya kuwa na hela kubwa kwenye biashara ya mtu...
  4. N

    Afisa Tabibu natafuta wa kubadilishana kituo kazi yeye aje Dodoma mimi nije Songea

    Kama kichwa kilivyojieleza yeyote ambaye yupo tayari tuwasiliana. Ahsanteni sana.
  5. N

    Tumeshatumbukia nchi ya "ndiooo" kwa sababu ya ushabiki wa kijinga

    Nina umia kuona kijana mwenzangu anashangilia nchi yetu kurudi nyuma kwa zaidi ya miaka 29, bunge kuendelea kuwa gizani, Kodi za wananchi kupangiwa matumizi na mtu mmoja badala ya bunge. Mbunge anachaguliwa kwenda kupitisha bajeti "Kwenda kusema ndioo" hakuna mtu atakaye sema hapana. Ngojeni...
  6. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  7. N

    Kampuni ya wakenya, Betika yaendelea kutapeli watanzania

    Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu. 1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja. 2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha...
  8. N

    Jaman anaejua dental clinic kubwa inaweza kuweka meno ya bandia Dodoma

    Naombeni mnisaidie ndugu zangu nijue iyo sehemu ilipo dental clinic kubwa inaweza kuweka meno ya bandia Dodoma
  9. N

    INAUZWA Tp link MR3420 router inauzwa Dodoma used 4 months

    Kwa watumiaji wakubwa wa internet au wale wenye hotel, Mabasi makubwa au maeneo yenye watu wengi 300MBS Dukani 200k mi nakuuzia 120k nakupa na moderm ya voda (sipunguzi bei) Popote unatumiwa , ukijirizisha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Waajiriwa wa Serikali nijuzeni hapa kuhusu vigezo vya kupata maternity leave

    Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini? Sheria zinasemaje? Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma, kambiwa hastaili. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Barua ya wazi kwa Waziri Mwakyembe

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rekhma kwa kutuweka hai mpka muda huu Lakini, pili nikusalimie Mheshimiwa Waziri 'shikamoo ,pole na majukumu makubwa yanayo kukabili katika nafasi yako Mheshimiwa Waziri : leo nimeona niandike ujumbe huu huenda Mungu akajaalia ukaona au...
  12. N

    Internship Tanzania baada ya kusoma nje

    Hello guys, kuna course moja nimeipenda ila cha ajabu huko nchi za wenzetu hawana internship ila hapa kwetu Tanzania wanafanya intern. Vipi kama ukisoma unaweza fanya intern bongo au watafanyeje wakati equity! Karibuni kwa mawazo.
  13. N

    MIMBWA KARIBU NA JENGO LA TFF

    Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
  14. N

    NATAFUTA NOKIA ASHA 210 OG mpyaa dukan kwa dar

    Ndugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar
  15. N

    JAFO ATAKA VIKWAZO KWA VIJANA WENYE UFAULU WA CHINI VIONDOLEWE ILI WAWEZE KUENDELEA NA ELIMU YA JUU

    Pasted Na Mathew Kwembe, Tabora WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo imezitaka Taasisi zinazosimamia mifumo ya elimu kutoweka vikwazo na masharti magumu kwa vijana wenye ufaulu mdogo kuendelea na kozi mbali mbali katika ngazi ya chuo...
  16. N

    150000tsh budget smartphone needed

    Payment after delivery Location mpwampwa district DODOMA Shipping.. Via busses Pm for shout-out. And conversions. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. N

    Ni kweli kuoa demu mwenye mtoto ni sawa na kununua gazeti jioni

    Kuna Binti...... [emoji23][emoji23] Tittle kali. Ila JF napapenda sana.. Mtu unaoa demu ana watoto watatu eti kisa umri wake mdogo aliye muambia azae haraka haraka nani [emoji23] Any way hii story ipo hapa kitaani kwetu Kuna jamaa kaoa demu mdogo mdogo ila anawatoto watatu sasa leo tupo kijiwen...
  18. N

    Nacte mnatoaje vyeti bila matokeo

    Ndugu zangu kuna mdogo wangu anatesekq sana yaaan alimaliza 2017 cheti kapata mwaka huu Lakin akifuatilia transcript wizarani eti a naambiwa chuo Chao hakijatuma matokeo seriously???? Chuo wamesema matokeo wametuma.... Yaaan wanarushiana mpira kama Yanga na timu ya wakurya biashara [emoji6]. Duu...
  19. N

    Ni Tanzania pekee ambapo kuna elimu ya chuo yenye mwisho

    Ndugu zangu wanaJF mimi sio mjuzi sana katika nyanja za elimu ila kuna mambo nime yasikia yamekua yakinichnganya saana. maswali makubwa niliyonayo ni pamoja na 1. NACTE kufuta baadhi ya kozi bila kushirikisha wadau mbalimbali na bila wazir mwenye dhamana ni ubabe au ndo utaratibu wa...
Back
Top Bottom