Search results

  1. bfsam2000

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    CHADEMA mpango wa Mungu...... Serikali inayoihofia CDM itasimama, macho na masikio yao yatahamia Mwanza.....
  2. bfsam2000

    Yosefa Komba atembelea hospitali teule ya Muheza

    Mkwepa kodi,CCM unawajua au unawasikia,wabunge wao ni wapiga dili na wachumia tumbo tu.....hawajali wananchi kabisa.....ubunge kwao sio utumishi,ni biashara
  3. bfsam2000

    USAHIHI : Hakuna Kiongozi wa CHADEMA aliyehamia CCM Ngorongoro!

    CCM siku zote wamezoea propaganda nyepesi...... na ndio zinawamaliza..... mwaka kamasi zitawatoka
  4. bfsam2000

    Wananchi Waandamana Jijini Arusha Kudai Huduma ya Maji, Mbunge Lema Asaidia Kutuliza Munkari

    Serikali inayoshindwa kuwapa huduma za msingi wananchi wake haifai kuendelea kuongoza
  5. bfsam2000

    Wananchi Waandamana Jijini Arusha Kudai Huduma ya Maji, Mbunge Lema Asaidia Kutuliza Munkari

    Maji ni tatizo sugu kila mahali.... serikali haijaipa kipaumbele stahiki sekta ya Maji.. wananchi wanateseka na kutumia muda mwingi wa uzalishaji kutanga na njia wakitafuta maji! Hii nayo ni moja ya ishara za anguko la chama tawala n serikali yake
  6. bfsam2000

    Kikao cha wadau na watia nia wa kanda ya Magharibi

    Ahsante sana kamanda Mtoi,tunawatakia mapambano yaliyomema
  7. bfsam2000

    Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

    Karibu Tabora mwenyekiti shupavu,jasiri na mchapakazi..... Tabora tunakuahidi mageuzi makubwa 2015. CCM imewahadaa wana Tabora kwa Muda mrefu,Hawataki tena kuisikia
  8. bfsam2000

    Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    Ndio tatizo la kupeana kazi kindugu.....mjenzi(shubash Patel) alisoma darasa moja na JK primary msoga
  9. bfsam2000

    Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

    Ana elimu ya Darasa la saba, alikua muimba kwaya Lutherani kawe, na MC wa maharusi! CV yake imeishia hapo Anayetaka detail zake zaidi,nitampa
  10. bfsam2000

    A word from a wise Man

    "when you are selected to lead your fellow humans it does not mean that you know everything better than they do...Our aim is to hand over responsibility to people to make their own decisions"
  11. bfsam2000

    Waandishi wa Habari wa Tanzania sio wazalendo, wana majungu: Kibonde

    kichwa maji huyo! haihitaji kumjadili kwanza sitaki hata kumsikia
  12. bfsam2000

    Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    GT! Ona hii toka ktk inbox ya blackbery yangu.natafuta source kwa aliyenitumia This is Dowans HQ in Costa Rica - (Pictures) Hi everyone; I'm back, wounded and limping but still kicking LOL. Numerous trips I have made since I reported to you about the then pending ITV saga. With some of my...
  13. bfsam2000

    Kadi za CHADEMA zinatakiwa kwa udi na Uvumba

    nimetoka Urambo-Tabora this morning,majority wanalalamika wanataka kadi za uanachama lakini hazipatikani.nimefuatilia ofisi ya wilaya wanasema makao makuu hawajatuma toka kabla ya uchaguzi Lakini kwa taarifa:kuna madiwani wa3 wa chadema ikiwa ni pamoja na kata ya Urambo mjini
  14. bfsam2000

    Elections 2010 Baada ya tamko zito la Dr. Slaa, Chadema sasa yatakiwa kutoa takwimu zao za Urais...

    nina taarifa za karibu,jumla ya kura za ubunge na uraisi kwa bukoba mjini zina tofauti ya elfu ishirini. sasa sijui hizo elfu ishirini kwenye ubunge zimeharibika au Vipi? na sehemu nyingi pia jamaa data wanazo
  15. bfsam2000

    JK kumpooza Masha na cheo gani?

    kahama ameshinda lembeli wa ccm
  16. bfsam2000

    Elections 2010 CONFIRMED: NCCR kidedea Jimbo la Muhambwe

    Source-ITV news bullettin bar felix mkosa(NCCR)-25391, Jamal Tamim (CCM) -15,141
Back
Top Bottom