Search results

  1. P

    Kama siyo Lema awe nani?

    sasa angalieni msije anza kulusindeana hapa plsss
  2. P

    Who Is Joseph Kony?

    kony ni kitu ingine
  3. P

    Swali:NINI HUSHIKILIA MIWANI,KATI YA PUA NA MASIKIO?

    miwani ndio inajishika kwenye masikio halafu inaegemea pua,nadhani kichwa ndio kiungo muhimu maana kinabeba vyote
  4. P

    Elections 2010 Wananchi waamua kumchakachua mbunge aliyeshinda kwa wizi wa kura-mbeya vijijini

    Mungu alipokupa kazi ya kuchunga kondoo wake hakukosea ,umeleta kiherehere cha kuhangaika na siasa cha moto utakiona , TUBU urudi nyuma na uanze upya Mungu anataka ukachunge kondoo wake , Wake up ......! Look you are learning in a hard way
  5. P

    Elections 2010 Watanzania sio wajinga kiasi hicho na uvumilivu una mwisho

    Kuna namna moja tu watanzania tunatakiwa kufanya, tuungane kama Baba yetu alivyotufundisha ,kuwa na umoja na kufocus na malengo tuliyojiwekea na Mungu ameshaona jitihada zetu kwamba tunahitaji mabadiliko ya kweli na yeye atafanya
  6. P

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    watashinda kwa staili hii siku zote lakini hawatashinda vita ambayo Baba wa taifa aliitangaza,Isipokuwa Mwnamume mmoja tu Dk Slaa asiye na woga wa kukumbatia marafiki waovu na wezi , anaye weza kutoa muongozo (vision) na anayeweza kumonitor na kuevaluate kazi iliyofanyika sio kuchez mdako na...
  7. P

    Elections 2010 CCM yatoa mkong'oto kwa vyama vya upizani TANGANYIKA

    Huku ndio kuyupeleka Bagdad sasa, Tanzania Tanzania Nakupenda Tanzania...!
  8. P

    Elections 2010 2015 mbali, lazima kieleweka sasa!

    Haki ya watanzania inacheleweshwa tu lakini Mungu atatoa kulingana na wakati wake
  9. P

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    kutoyatambua matokeo sio kupeleka watu bagdad ni mtazamo wa mtu na hali halisi , we kama ni mwanamume ukaambiwa mwanamke utakubali? acheni kuwa negative kisa ni Mwanamabadiliko anataka kurekebisha hii nchi, Naamini Dk Slaa hayupo kwenye hii nchi kwa ajili ya vurugu ni mtu anaye ona na aneye...
  10. P

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    Wanacheza na Mungu hawa nawaonea huruma...!
  11. P

    Elections 2010 Je,Dr.W Slaa anaweza kuteuliwa kuwa mbunge kama akikosa nafasi ya urahisi?

    hatutafuti heshima hapa tunataka mabadiliko na yeye ndio muasisi wa yote SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, anacheleweshwa tu kuingia ikulu lakini 2015 yupo ndani ya nyumba nyeupe nyie vipi hamuoni huu ni muda wa kujiandaa ,haitaji kuingia mjengoni anatakiwa kujiandaa kuingia pale Baba yetu...
  12. P

    Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

    slaa ni raisi atagombeaje uspika?
  13. P

    Elections 2010 Wana kyela WHAT THEY PROMISE IS WHAT THEY DELIVER NO JOKES

    2010 ni hivi je 2015 itakuwaje, huu ni mfano wa kuigwa jamani
  14. P

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    hakuna Mungu kma wewe bwana ahhhh ahhhhhhh ,Hakuna Mungu kama wewe Alah aahhhha hhhhhhhh, unaweza eeeeeh eeeeeh eeeeh eeeeeeeeeeeeh HAKUNA MUNGU KAMA WEWE BWANA AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH! Hureeeeeeeeeeeeeeeeee Mdeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mdeeeeeeeeeeeeeeeeeee oops ! too much noise ...
  15. P

    Elections 2010 Matokeo same both

    east and west eleweka kina nani?
Back
Top Bottom