Search results

  1. melchior

    Anatafutwa Operator wa Excavator

    Anatafutwa operator wa excavator mwana mke mwenye uzoefu na sharp kwenye kazi Anatafutwa pia project manager mwana mke mwenye uzoefu wa kufanya miradi ya mining Eneo la kazi; Kilwa WhatsApp 0766925042
  2. melchior

    Mwalimu wa programming kwa watoto miaka 9 na kuendelea

    Please contact me 0766925042 Nipo dar es salaam
  3. melchior

    Mwalimu wa programming kwa watoto miaka 9 na kuendelea

    Natafuta mwalimu wa kufundisha programming mwenye uwezi wa kufundusha watoto wa kuanzia miaka 9 na kuendelea
  4. melchior

    Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    https://www.medicalnewstoday.com/art Sent using Jamii Forums mobile app
  5. melchior

    Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Mkuu utakuwa na scabies, tafuta na tumia SCABOMA, thank me later Sent using Jamii Forums mobile app
  6. melchior

    Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

    Msimamo wa trh 4 huo hapo Kununua dola ni 2320
  7. melchior

    Tatizo la Afrika sio China. Sio Ulaya. Sio Marekani: Tatizo la Afrika ni Waafrika wenyewe - Zitto Kabwe

    Kwenye ujenzi wa bomba la gas, mtwara hadi dsm, wachina walikuja hadi na wapishi wao, hadi vibarua walitoka china
  8. melchior

    Natafuta pharmaceutical Dispensers

    Nafungua Pharmacy, afrika sana. Natafuta pharmaceutical dispensers wawili walio sajiliwa. Akipatikana anaye ishi maeneo ya Sinza, mwenge, kijitonyama ama ubungo itapendeza zaidi. Kama ujuzi huo, ama una ndugu jamaa na rafiki mwenye hiyo fani nicheki kwa 0766925042 Sent using Jamii Forums...
  9. melchior

    Natafuta mfamasia kwaajili ya kusupervise pharmacy

    Please mkuu naomba unisaidie kurusha tangazo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. melchior

    Natafuta mfamasia kwaajili ya kusupervise pharmacy

    Natafuta mfamasia kwaajiri ya ku supervise pharmacy inayo tegemea kufunguliwa Afrika sana , Dar es salaam. Mfamasia yeyote ambaye yupo interested please contact me through my cell; 0766925042 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. melchior

    Natafuta pharmasist

    Natarajia kufungua pharmacy DSM maeneo ya Afrika sana. Kama matakwa ya kisheria yanavyo taka niwe na msimamizi ambaye ni mfamasia , naleta kwenu tangazo hili la kumtafuta mfamasia ambaye ninaweza kutumia cheti chake Muhimu awe na permanent registration na council Retainer fees offer 1m per...
  12. melchior

    Natafuta Mtaalam wa kilimo cha mboga mboga na ufugaji

    Kuna shamba kama eka 4 Madale Dar es salaam, nafanya kilimo cha mboga mboga na ninatarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kisasa. Kuna Banda la kuku, Nyumba za kuishi wafanyakazi, Kisima kirefu na umeme. Kama robo eka ina drip lines, na kuna wafanyakazi kama watano Natafuta Mtaalam wa kuwasimamia...
  13. melchior

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    Unatafuta kazi ya mshahara kuanzia ngapi?
Back
Top Bottom