Search results

  1. Madrid86

    Naomba kujibiwa hili swali kwa hekima kuhusu kuishi ukweni

    Suluhisho ni kuhama hapo ukweni. Bora muende kupangisha. Hayo maisha yanaezaleta mtafaruku saa yoyote. Pia nyie kama wanandoa mnakua hamko huru.
  2. Madrid86

    Msaada wa kujua hawa mbwa Ni breed gani???

    Huyo mama yao tu utata.
  3. Madrid86

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Arsenal wakitufunga ndo itakua aibu yakufungia mwaka. Morinyo kaishiwa mbinu afukuzwe, ana maneno mengi sana
  4. Madrid86

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Usipaniki ndivyo maisha yalivyo. [emoji3][emoji3]
  5. Madrid86

    Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

    Hahahaa ni kawaida mkuu vumilia bado miezi 6 tu.
  6. Madrid86

    Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

    Hizi tuhuma ni nzito, anacheza na afya za watu. Lazima awajibishwe aise kama ni kweli.
  7. Madrid86

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Yaan unadiriki kusema moja ya hasara ya hayo mashirika ni mtu kuishi miaka mingi baada ya kustaafu. Duuuh.
  8. Madrid86

    Nikinyoa napata muwasho wa ajabu

    Tumia machine nzuri na after shave nzuri.
  9. Madrid86

    Kwanini lakin watanzania waishio nje wanaletaga visingizio ukiwaomba link ya kuwa diaspora??

    Ni kumpa moyo mlalamikaji nakumuonyesha kua pande zote znaeza zikawa na maisha mabovu pia.
  10. Madrid86

    Kwanini lakin watanzania waishio nje wanaletaga visingizio ukiwaomba link ya kuwa diaspora??

    Wengi hawataji kurudu hata kama hali ni mbaya uko coz wanaona aibu wajrudi wenzao waliowaacha washafka mbali na connections hawana.
  11. Madrid86

    Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

    Tehtehteh huo msosi ndo unaleta shida
  12. Madrid86

    Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

    Wote hamko SILIASI. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  13. Madrid86

    TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

    Wewe ndo ulikosea. Kumbe namba ya mwalimu mkuu ulkua nayo.
  14. Madrid86

    Dr Isaac ndodi

    Alikua anaongeaga kwa kukashifu sana. Alkua anasema usiku unatakiwa unywe uji kkombe ki1 ulale. Labda aljisahau..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  15. Madrid86

    Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.

    Tatizo ndo liko hapa. Anza kenda ibadani leo hii na uongee na kiingozi wa kiroho akufanie counseling.
  16. Madrid86

    Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Anika boxer zako kwenye dirisha lake
Back
Top Bottom