Search results

  1. quimby_joey

    Wenye pepo la ngono huombewa hivi

    Kila pepo huguswa mahala lilipo
  2. quimby_joey

    Societies Act, [Cap. 337 R.E 2002]

    Wadau habari. Naweza kupata soft copy ya Societies Act, [Cap. 337 R.E 2002] kwa mwenye nayo Natanguliza shukrani
  3. quimby_joey

    Mzungu rangi

    Mzungu rangi
  4. quimby_joey

    Secretary anahitajika

    SECRETARY MWENYE LEVEL YA DIPLOMA ANAYEFAHAMU VIZURI LUGHA YA KIINGEREZA, NA MWENYE UJUZI WA COMPUTER ANAHITAJIKA. WENYE SIFA WATUME MAOMBI YAO:- BULWARK ASSOCIATES ADVOCATES P.O BOX 32032 DAR ES SALAAM Email: jamesyarah@yahoo.com deadline ya kutuma maombi ni tarehe 30.10.2013
  5. quimby_joey

    Review of a Resident Magistrate (Ext Jurisd)

    Dear all, i appeal to you for your views and opinion on the following scenario:- I have a client who lost his case in the District Court and appealed to the High Court. The High Court transferred the case to the Resident Magistrate with Extended Jurisdiction, who upon final determination of...
  6. quimby_joey

    Accountant Anahitajika

    Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35. kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa barua pepe mawazo1@hotmail.com au sanduku la barua: Bulwark Associates Advocates P.O Box 32032 Dar es...
  7. quimby_joey

    Pampula Live!

    Hii imetokea live jioni ya leo maeneo ya Tandale kwa bi nyau
  8. quimby_joey

    Tujikumbushe: NANA wa Kaole Sanaa Group

    Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra, Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
  9. quimby_joey

    Urais Ungekuwa Unanunuliwa kama Wachezaji..................

    ................................................
  10. quimby_joey

    Filamu za Kijasusi

    JF Members naomba kwa anayefahamu filamu za kijasusi (undercover movies) anitajie ili niweze kuzitafuta, ni mpenzi sana wa hizi filamu
  11. quimby_joey

    Ukitazama hii Picha Utagundua JK aliomba apigwe Picha

    ni kama anamwambia Michuzi, "aisee hakikisha inatoka vizuri"
  12. quimby_joey

    'Faida' ya uvutaji sigara

    hii ni 'faida' mojawapo tu weka zingine unazofahamu kwa faida ya wavutaji My take: Uvutaji wa Sigara ni Hatari kwa Afya Yako!
  13. quimby_joey

    Ibada ya Freemason

    Jay Z wa nne kulia mstari wa pili, akifuatilia kwa makini ibada ya mason
  14. quimby_joey

    Mbinu Mpya ya D. DEALERS

    Drug Dealers wamebuni njia mpya baada ya ile ya kutumia miili ya marehemu kupitisha madawa kugundulika, hapa tena watakuja na ipi mpya?huyu ni ajuza wa miaka 89!
  15. quimby_joey

    Street Heavyweight Lift

    ukitoka hapa lazima utafute kilo nzima ya unga
  16. quimby_joey

    Endapo Itatokea Ukataka Kuishi Kumridhisha Kila Mtu

    kwa kila utakalofanya wengine wataona hauko sahihi
  17. quimby_joey

    hii staili imekuwa maarufu sana kwa wadada siku hizi!

    bila shaka hapo ni mahala pake
  18. quimby_joey

    Ushauri wa kina

    girlfriend wangu ana hali ambayo yeye anashindwa kuielewa, inaweza ikamchukua hadi miezi 3 hadi 6 hajaenda siku zake (bleed) mara ya mwisho kwenda bleed ilikuwa Nov. 2011 hajaziona tena hadi mwezi huu wa sita, je hali hii ni ya kawaida?
  19. quimby_joey

    Hata wao wanaweza

    ni kama vile walianza toka wakiwa wadogo hasa huyu aliyepakata dumu akisubiri zamu yake
  20. quimby_joey

    Naomba kusaidiwa kutatua tatizo la Flash kuwa USB write protected

    flash yangu 2GB imenigomea kabisa na ina vitu muhimu sana na navihitaji... uki-insert kwenye CPU inasoma vizuri na files unaziona tatizo siwezi kuzifungua kuzisoma, nikitaka ku-save kazi kutoka sehemu nyingine inagoma inaniambia USB flash is write protected remove the write protected or save...
Back
Top Bottom