Search results

  1. C

    Maisha Tv brands

    Naomba mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia Television za Maisha, ubora na upungufu wake anifahamishe nijue. Asanteni, nawasilisha.
  2. C

    Katika kusoma kwangu sijawahi ongoza somo la Hisabati -Mathematics

    Hata Kiswahili tu hujui, ulifaulu masomo gani? Kwenye h huweki, unapotakiwa uandike a unachanganya na h, wewe ni mhaya? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Gari ya bure kwa anaehitaji.

    Nitakupa laki mbili zikusaidie kurekebisha passport Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Mwenye mawasiliano ya hospitali ya Burere

    Kabla ya kufika kwa Dr. Bake, umeshawahi kumpeleka CCBRT Mikocheni. Hao ni Professionals wa kazi hiyo na wana vifaa vya kisasa.
  5. C

    Msaada nissan patrol

    Gari yako inatumia Betti mbili? Cheki betri moja imepungua nguvu au kuna luzi koneksheni kwenye betri iliyopungua nguvu.
  6. C

    Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Matengenezo baada ya kuwa hewani saa 12000 ni kweli au umekisia Mkuu Barafu? Maana ni mengi. Hivi mfano ndege ikiruka saa 10 kwa siku × 30 = saa 300 hapo bila kupunguza safari siku yoyote. Sasa saa 12000 ÷ 300 = miezi 40 ambayo ni miaka mitatu na miezi 4. Je hizo bombardier zimekuja na kuanza...
  7. C

    Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

    Umeshawahi kusoma articles zake? Hizo alizoandilka ni principles za kawaida za wanaojitambua na kufanya yao ( wafanyabiashara n.k)na sio waajiriwa wanaotegemea mzunguko wa fedha uwe mzuri. Kumbe yeye anajua hali si nzuri na hashauri kubadili life style!
  8. C

    Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

    Sasa kwa akili yako umeona kaandika kitu kipya zaidi ya kujipendekeza au unafiki tu?
  9. C

    US sanctions Tanzanian kingpin, Shkuba and his East Africa-based Drug Trafficking Organization

    .z,,,,x,,_,z$/zx,,,z , x ,,zz,zZd,*%__""/_//__/ xrz,,,, s,,k,,,_,
  10. C

    Lowassa kadanganya watu wa Namanga kuhusu Uchumi wa Tanzania

    Msidanganywe na takwimu zinazofanywa na Taasisi za nje tujipime wenyewe.
  11. C

    Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

    Akili za kupepea hizo! Hao ni wagombea ubunge kwenye majimbo yao wapo kwenye kampeni we MTU.
  12. C

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Eneo lile hakuna makazi ya watu. Sikiliza maelezo ya mchungaji majeruhi. Dereva alikwepa Gari jingine ambalo liliovateki Lori lililopaki pembeni ili wasigongane USO kwa USO, huko alipochochora alitumbukia kwenye kakorongo ndo ikapinduka. Kwa sababu marehemu hakufunga mkanda, alirushwa nje na...
  13. C

    Lowassa bana, Haya ngoja tusubiri

    Usitoe mada bila utafiti. ENL aligombea 2005 kweli?
  14. C

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Kumbe na mgombea wetu naye mgonjwa? Duu. Moyo waweza kuzima fasta halafu wakasingizia mambo mengine Fulani hivi.
  15. C

    UKAWA njooni Chalinze, tumalize huyu mtu

    Katika mazingira hayo ya madarasa mwalimu anapewa laptop ya nini?
Back
Top Bottom