Search results

  1. mbung'i

    Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

    Sie kitambo tulishaanza.
  2. mbung'i

    Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Kiboko yao.Acha amchane tu coz America wanajionaga wao ndio kila kitu.Al Assad kamtolea jamaa nje na ripoti zake.Always they talk negatively abt Syria.Km ilivyo kwa Africa tu,vyombo vya Magharib vinatulenga kwenye negative tu as if hakunaga jema huku.Assad anajiamin!!!!!!
  3. mbung'i

    Kwanini Viongozi wa Upinzani hupenda kuandamania Mkoani Dar es Salaam badala ya kila mtu Mkoani kwake?

    Mikoani watu wako buzzy na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa.Hkn mwenye muda mchafu wa kuwafuata hawa wachumia tumbo.Kwa kifupi wanapuuzwa tu.Wana wanaowasikiliza huko dsm ndio sababu ya wao kuanzia huko kwa kila jambo.We trusted them bt they put us down.Wabunge wamekuwa busy kwenye...
  4. mbung'i

    Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

    Pangolin
  5. mbung'i

    Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Haya ya maaskofu.Hayakuanza leo hats wkt was kampen za uchaguz mkuu yalikuwapo mambo ya mwelekeo km huo.Nao ama wana interest zao au wanafulfil interest za kundi flan.Bt in reality wangekuwa na busara wangeomba kikao na mkuu na huko wangezungumzia hayo.Kulipuka tuu sio jibu la matatizo.Ikumbukwe...
  6. mbung'i

    Rais Magufuli kupokea magari 181 ya kusambazia dawa nchini

    Hili nalo la muhimu sana tu.Hongera sana Rais wangu.Endelea kuchapa kazi.
  7. mbung'i

    Why Western Media Focuses on Negative Coverage of Africa

    Very correct bro.Was shocked by eruption of Ebola in west Africa where by western countries judged the whole continent as one country. No idea of more than 6000 miles east to west.Somehow bigger than their continents. Africans let's get up and be good ambassadors of ourselves at least we can...
  8. mbung'i

    Wadada mnisamehe kidogo!

    Thanx Mkuu.Umegusa vitals.Wengi hufikiri kuwa watabaki hapo hapo walipo kiumri.They nvr think abt numbering in age.Vzr km watausoma Uzi na kuutilia maanani basi km ni mtihani umewapatia majibu.
  9. mbung'i

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Yeah!!!Lobs,ghuba nk.Achana na kitu Umbwe bwana.Mti safi kweli.
  10. mbung'i

    Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

    Mbui Yondani,Selestine Sikinde Mbunga.
  11. mbung'i

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Musoma Technical(The university of Mara) wasomi magwiji wengi wamepita hapa pia.
  12. mbung'i

    Uzi maalumu: Picha Tu za maendeleo mbali mbali ya ujenzi Tanzania nzima chini ya Rais Magufuli

    Great president. Keep it up.Go Magufuli go.Good job.
  13. mbung'i

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Thanx Nyamsusa JB.Hata Mimi nimekutana na changamoto km hiyo ars.Lakin sasa I know hw to deal with it.Appreciated.
  14. mbung'i

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Noah old model 4wd haijarudiwa rangi na isiwe white kwa mil 7 itapikana mkuu.
Back
Top Bottom