Search results

  1. peoples power

    Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Ni kweli kabisa kuwa waliitwa watukufu!Lakini haikuwa sahihi Kuwaita watukufu hata kidogo na ndiyo maana Mkapa akakataa kuitwa mtukufu na nafikili hata Mzee Kikwete naye hakupenda kuitwa mtukufu kwa maana hawakupenda kujikweza!na hii Inatokana na utashi wa mtu binafsi kama ananendeleaje kuitwa...
  2. peoples power

    Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

    Kuna watu wanjua sana kuisemea mioyo ya watu wengine!!sijui sababu ni kitu gani kwa kweli!!
  3. peoples power

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Hapo amatoa na hukumu kabisa!na kama suala lipo mahakamani unalisemea la Nini sasa unataka kuifundisha kazi tume maana unatoa maelekezo ya Nini tume ikifamye juu ya Tundu Lisu!Paskali ni I bwana!
  4. peoples power

    Waziri Simbachawene amuagiza IGP kuwakamata Wafanyabisha wanaohodhi mafuta, awatuliza wananchi Kibaigwa waliopanga foleni ya mafuta siku nzima

    Hivii hii inchi ni watanzania au ya Magufuli!!kweli kusifu na kuabudu kukizidi kunaondoa akili kichwani
  5. peoples power

    Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

    You real said brother unaijua industry ya Mafuta vizuri within no time tutaanza kulia!!na kama ilivyo sema aerikali haiagizi hata lira moja ya mafuta so haina Uwezo wa kusambaza Mafuta hata kwa siku inchi nzima!tuache comedies jamani
  6. peoples power

    Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    Rais anakuwa amili Jeshi baada ya kuchaguliwa Kuwa rais na Rais anachaguliwa na wanainchi na siyo Vyombo vya dola!au safarii majeshi yetu ndiyo yatakayo piga kula peke yake[emoji15]
  7. peoples power

    Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

    Yaani wewe umesahu ulivyo imba na kusifu na ukarudishiwa uwaziri leo hii unakuja hapa na ngonjera za kitoto hizo kama vile watanzania wote ni wajinga!lugola anajua anachokifanya maana imekuwa ni kanuni wanaoimba mapambio na kusifu ndiyo wateule kama ulivyomteule wewe!tuondolee shombo lako hapa
  8. peoples power

    Mtoto wa kike unawezaje kunywa chupa 3 za wine?huu ni ushamba au

    Kama bajeti ilibana si useme tu kuliko kumsema vibaya dada wa watu ulimualika wa nini sasa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. peoples power

    VIDEO: Basi la Asante Rabi Express likitoa Kichapo kikali kwa Wapinzani wake

    Sijawahi ona mtu mjinga kama wewe siku zote watu wanaenda kuhusu mwendo kasi unaua cha ajabu leo mwenzetu unashangilia!!
  10. peoples power

    Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

    Duhhh shubamit hivi ukitangulia wewe itakuwaje [emoji36]
  11. peoples power

    TANZIA Kaoge afariki dunia

    Mungu Lazima amuhukumu Huyu tena Wala hata kutananaye huyo ninmojakwamoja motoni ! Maana Hata sodoma n'a gomola aliwaita adabu kwa moto baada ya kufanya vitendo Kama hivyo !
  12. peoples power

    Mmoja kati ya madiwani waliohamia CCM huko Hai, amejikuta katika hali ya sintofahamu

    Wakati utamwambia tu wacha tusubili!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. peoples power

    Shujaa Wa Tanzania Hachaguliwi Kwenye Makongamano Yanayofanyika Nje Ya Nchi

    Wewe Fred mpendazoe ni mnafiki mkubwa na mzandiki sana unachokifanya ni kutafuta huruma kwa watawala huna lolote naona njaa sasa imekupanda kichwani!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. peoples power

    Tundu Lissu(CHADEMA), iga mfano wa mbunge Elibariki Kingu (CCM)

    Inawezekana mtoa post unamatatizo binafsi na Tundulisu!!
  15. peoples power

    Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

    Kusoma plate namba Kwa ni raisi zaidi kuliko Mbele!
  16. peoples power

    Sugu awa Mbogo bungeni, amshukia Ally Kessy, Makonda, Simbachawene na Mwakyembe

    Kessy tena anavutia chooni Alafu bangi za uzeeni zinamfanya vibaya Sana yule!!
  17. peoples power

    Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Uzuri upi unao usema wewe maana mimi nafikili kila mwanaume anatest zake so usituaminishe kuwa kila mwanaume humu atawaona wahaya ni wazuri!kwa mfano mimi sipendi wanawake wanene na weusi yaani kwangu nibure kabisa!sasa kama wewe ulikutana na mhaya ukamfurahiyi that is yours!
  18. peoples power

    Taarifa za njaa: Waandishi wa vituo vya televisheni muonyesheni Rais hali halisi ilivyo

    Wewe kweli hamnazo sijuwi na wewe huu uozo uliouleta hapa unakusaidia nini kwa nini na wewe usikae kimya ukamsaidia mkeo kufumua nywele zake za chrismas!acha ushabiki wakijinga au bado hujakuwa lakini ukikuwa utaacha huu ujinga wako fyusii sana wewe!!
  19. peoples power

    Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

    Hilp ni sawa ila nilazima mamlaka zikosolewe si zijifanye ni miungu wa hapa duniani!
  20. peoples power

    Msaada kuongeza kiwango cha mbegu za kiume

    Ok ila cha msingi ni kumsaidia kama unaweza kufanya hivyo bila kujali kama mwenye tatixo ni yeye au mtu mwingine!!
Back
Top Bottom