Search results

  1. W

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahaaa huu Uzi nimeupenda yani likise out of no where Sent using Jamii Forums mobile app
  2. W

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahahaaaaa Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
  3. W

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Lazima tukubali si kila mtu ni expert wa JF and kuna approach ya kumwambia mtu.Hakuna haja ya matusi hatujuani viwango vya elimu na pia kuna wengine tunapenda kujifanya wajinga zaidi ili tujifunze zaidi.Kuna watu wengine humu were expert in other area of finance but forex seems to be something...
  4. W

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Umejuaje kama sijasoma mkuu au umejisikia tu kujibu??? Sio lazima ujibu hata ukikaa kimya ni busara pia.Yeye kajitolea kundisha na mimi nimeomba kufundishwa wewe mjuaji tulia sisi tusiojua tujifunze na pia understanding ni tofauti but at the end ultimatum is all matter no matter which method...
  5. W

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ONTORIO THANKS FOR SHARING VERY CONSTRUCTIVE TOPIC.WERE SO IMPRESSED KUJA KUJIFUNZA ZAIDI LAKINI JE TUNAWEZAJE KUFANYA HIVYO NA HUJAWEKA CONTACTS.PIA WATU MIA 300 NI WENGI I CAN'T IMAGINE NI ENEO KIASI GANI UNA HITAJI KUWEZA KU ACCOMODATE WATU WENGI HIVYO LABDA UNGEWEKA FEE KIDOGO ATLEAST YA...
  6. W

    Kama Kawaida watu na media za Magharibi zina Ripoti habari kwa Ushabiki majanga ndo wanayapenda

    Tuna mambo mengi tunayo kabiliana nayo kama nchi.Barabara ni swala moja wapo.Hatuwezi kuotesha barabara kwa siku moja inahitaji miaka mingi na commitment lakini pia hatuwezi kuelekeza nguvu zote kwenyr barabara kuna matatizo ya Afya,elimu,uchumi ma mambo kadha wa kadha.Kimsingi tunahitaji sana...
  7. W

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Asante mkuu umejieleza vizuri lakini hatuwezi kutulia na kutojiuliza maswali ya msingi.Labda na mimi najaribu kujiuliza 1.Kama ulipewa jina sawa tunaweza kukubali hilo moja La Mwigulu je hili la Nchemba nalo ulilitoa wapi maana haiingii akili ukachukua majina yote mawili au ulimkana mzee wako...
  8. W

    Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    Chemsha maji yawe ya moto sana kama unapika ugali kisha idumbukize.Utaona kila kitu message na picha zitayeyuka akifungua itakuwa haina source atashindwa kudawnload.Pia unaweza kuikaanga simu na mafuta ya Alizet badala ya maji Chagua option kati ya hzo mbili zote ni effective
  9. W

    Safari hii Mwalimu Mwakasege hajaita wadada wenye uhitaji wa kuolewa?

    Kuna mada zingine hazina mashiko Mwakasege ni mtumishi wa kiroho.Na pia huwezi kutumia mkutano wake kupima hilo na hata ukijua wadada wengi hawajaolewa nini unajifunza.Lakini nakuhakikishia kwa watu wa kiroho kuoa au kuolewa kwao hakuna maana sana kama ule Wokovu waliouendea
  10. W

    Tabata inaanza kuwa kama Posta, kama huna kiwanja huku wahi haraka!

    Hahahaaa hii hoja hata haina mshiko kipimo cha maendeleo haiwezi kuwa maghorofa tu.Vipi kuhusu miundombinu and social services?
  11. W

    Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    Hizi ndo mada hatuzitaki hakuna ushirikiano kati ya karamu na muandishi sasa mada haina kichwa haina chanzo cha kuaminika.Taarifa zinasema umezitoa wapi kama sio Uchochezi
  12. W

    Huu ndo ukweli jaman

    BaNGE
  13. W

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    I didn't know that Ngeleja is crazy sasa ndo kujitetea gani huko
  14. W

    Nishaurini kuhusu hili

    It better to fail than fail to try. Remember:The way your today is reflection of your thought be positive always
  15. W

    Historia ya wimbo uitwao Ni Salama Rohoni Mwangu (It is Well with my Soul)

    Thank you for touching story.Stay blessed
  16. W

    Wanawake punguzeni ubabe

    Mwanaume amevuna alichopanda hakuna tatizo hapo
  17. W

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Pole Mukulu mbona maamuzi kama vile ulishayafanya kata mti panda mti maisha yanaendelea.Mungu aliamchagua Sauli na Sauli alipohasi Mungu alimkataa Sauli akmwinua Daudi badala yake.Na Samweli nabii kipindi kile alipokuwa akiendelea kuomba Mungu asimwache Sauli Mungu alimjibu Samweli akisema hata...
  18. W

    Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

    Mi nasubiri mwenye hicho kitabu cha Mwakyembe atupie humu ndo tuchangie
  19. W

    Identify Hacker

    Duh mwache tu asaome ndo utandawazi wenyewe
Back
Top Bottom