Search results

  1. A

    Penzi la raha na mwalimu wangu wa hesabu

    Malizia basi utamu huo
  2. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi ni Mwalimu Wa shule ya Sekondari ktk Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga, naomba mwalimu yeyote aliyeko Manispaa ya Morogoro aliye tayari kufanya kazi huku niliko (Lushoto) tubadilishane vituo hivyo. Walioko tayari wani PM
  3. A

    Balali yuko HAI - He is not dead

    mwisho wao unakaribia wamalizie tu makombo
  4. A

    DOWANS na bunge la February

    wameona moto utawaka,so wanataka kula kabla chakula hakijamwagwa
  5. A

    Elections 2010 Hivi tbc ni shilika la ccm au la walipa kodi wote wa tz?

    Hata mwenyewe nilijiuliza sana kwan hawakutaka kutangaza hata matokeo ya vituo vichache vichache ili watu wapate mwelekeo, hata hivyo itakula kwao mwaka huu
  6. A

    Elections 2010 Masanduku ya kura yadaiwa kuingizwa kinyemela Kibaha

    tupe habari ndugu!mana watz wamegandamizwa mpaka mwisho sasa kilichobaki ni kuinuka juu
Back
Top Bottom