Search results

  1. K

    Tuache siasa kwenye ujenzi: Majibu ya nyufa hizi, yatolewe na The Professionals, AQRB, ERB, CRB, na sio mtuhumiwa TBA!

    Ni kweli, yeye kwa nafasi yake angetakiwa awafwate huko akawaulize wamweleweshe alafu aje atuelezee
  2. K

    Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    Hata mie nimeshangaa hiyo kauli ya "hatua za ujenzi" Mie naona ametumia hiyo kauli ili kuwaandaa mtakapo waona wanarudi kwenye hayo majengo kuyafanyia marekebisho(kama inawezekana) basi msipige makelele kwasababu ni hatua za ujenzi
  3. K

    NEC: Uchaguzi mdogo Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini kufanyika Januari 13, 2018. Je, Kitila kumrithi Nyalandu?

    Inamaana waende kupigania ubunge wa Nyalandu tu? Kwa hiyo chadema wakilipata tu hilo jimbo la nyalandu na kupoteza hayo majimbo mengine na kata zote ndio watajua upepe upo kwao?! Sio kwamba wanatakiwa kupigania kurudisha majimbo yote ya upinzani na kupata kata angalau 3/4? Nyalandu akishinda ni...
  4. K

    NEC: Uchaguzi mdogo Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini kufanyika Januari 13, 2018. Je, Kitila kumrithi Nyalandu?

    True aisee... kuna mtu kasema hapo yani kweli ccm waruhusu Nyalandu arudi bungeni?! Ni ngumu kuamini... labda useme wamrudishe strategically tu, kwamba wenyewe watashinda majimbo mengine yote (including longido na kinondoni offcourse) na kata nyingine zote zilizobaki alafu wamwache Nyalandu...
  5. K

    NASA’s strategist, David Ndii arrested in Kwale over People's assembly

    Hihihihihi... hata mie nimefungua mbioo, nilifikiri mambo ya 'sayari' nyingine angalau yametufikia na sisi huku...
  6. K

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Ni kweli... lakini kama kuna mtu 45yrs old anesema niko hapa barabara ya kilwa road basi hata kipindi hicho atakua alikuwa anasema niko hapa crdb bank... labda mlaleo aliwasikia wakisema hivyo, labda bado anawasikia maana anaonyesha bado anaishi kwenye hiyo era ya crd bank. Okeey basi...
  7. K

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Kwa hiyo mkuu maneno kama rejeta, chemli, yameshaingia kwenye dictionary ya kiswahili? Ni vocabulary halisi za kiswahili?
  8. K

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Ni kweli... lakini zamani hiyo B ilikuwa inasimama kama 'bank'
  9. K

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Hahahahaha... chemli....mie pia hapo nilikuwa hata sijawi hungainisha... its funny jinsi maneno mengine hata mtu kama unayajua correct pronounciation yake unakua hugundui kwasababu yameshakua kama normal vocabulary ya kiswahili
  10. K

    Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Kwa hiyo hapa ndio umeona umepata njia ya kuhihusisha chadema na hii issue...kwa hiyo juliana sasa anajulika zaidi kama yule mwanadada aliyekuwa chadema na wala sio waziri kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kutoka chama cha mapinduzi?!
  11. K

    Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Msome vizuri nafikiri anasema wanaoa ili wazaliwe watoto
  12. K

    Mbunge Prof. Jay aangua kilio hadharani, baada ya mauaji yaliyofanywa na polisi jimboni kwake

    Mk Kudhani, kudhani, kudhani... we mwenyewe unadhani polisi walifunga safari yote hiyo kwenda kuua mtu? Ndio unadhani hivyo?? Huyo polisi anayeongea hapo kasema amedhaniwa na bado upelelezi unaendelea sasa kumdhania mtu ndio umuue?
  13. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbezi dar es salaam saa hizi hakuna umeme
  14. K

    Napatwa na kichefuchefu nikikutana na mwanamke aliejichubua

    Kweli, binafsi si condone tabia ya kujichubua hasa ikizungumziwa kiafya... lakini unafiki wa wanaume ni wa kiwango chake aisee... nyumbani mke na watoto wake wa kike anawabana kama wako jela wakitoka nje wajifunike gubigubi kama wako iceland lakini yeye barabarani macho kayakodoa kodo huku...
  15. K

    Napatwa na kichefuchefu nikikutana na mwanamke aliejichubua

    Kabisa! Wanafiki sana! Tena mara nyingi unakuta anamuacha mke ndani mama mstaharabu kabisa, yeye anakwenda kuchukua mchepuko/kimada kajichubua, full mawigi, hips za kichina etc...ana anampangia nyumba au kumjengea kabisa...alafu leo wanakuja na kichefuchefu hiki! Smh!
Back
Top Bottom