Search results

  1. Odhiambo cairo

    Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    KoLo usitusumbue Tomu yako ilibebwa na kanuni , udozingue . Chagua kati ya Al Ahly na Mamelodi nafuu kwako ni yupi. Halafu uje ujifariji
  2. Odhiambo cairo

    Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

    Hamas hawezi kushinda vita jamani. Labda kujipa tu moyo . Gaza imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.
  3. Odhiambo cairo

    Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

    Kama ungejuwa ni hamu ya waTanganyika kuwaona mmejitegemea na si kuwa mzigo kwao. Basi tu wanasiasa
  4. Odhiambo cairo

    Wakala wa Baleke: Simu ziite Baleke hataki kurudi TP Mazembe

    Kwanini Simba wasimchukuwe na changamoto walizonazo za kujenga timu ?!. Kwanini wengine !!
  5. Odhiambo cairo

    Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

    Hizi silaha za hatari kadri zinavyoingia kwenye mikono ya wehu, dunia itaendelea kupata tabu sana.
  6. Odhiambo cairo

    Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Siyo kweli. Kina Mozambique, Namibia & Angola wamesimama na wababe kiume. Sisi uswahili mwingi sana
  7. Odhiambo cairo

    Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

    Yesu alikuwa sawa alipomuokoa yule mwanamke kupigwa mawe ili are. "AMBAYE HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI TANGU KUZALIWA NA AWE WA KWANZA KUMPIGA MAWE" Watu ni wepesi wa kuwahukumu wenzao huku wao wakiwa wachafu zaidi. Wanaume wenyewe hawajitunzi kabla ya ndoa. Na ndiyo chanzo cha kuharibu hizo bikra...
  8. Odhiambo cairo

    Kuna mahala Nyerere alikosea

    Tanganyika aliingia kwenye ndoa na mwanamke asiyempenda . Hivyo Tanganyika anaingia kwenye gharama zisizo za lazima kulinda muungano usiokuwa na tija kwake yeye (Tanganyika).
  9. Odhiambo cairo

    Houth washambulia meli ya Marekani na Cruise Missile

    Mnajidanganya sana . Si Hamas wala Hizbullah na hata hao Houthis wanaweza kufanya chochote. Ila tu ni kuleta usumbufu usio wa lazima
  10. Odhiambo cairo

    Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

    Kama ambavyo waislamu wanavyowatukuza waarabu siijui nao wana nini magaidi hawa ?!. Kwa ujumla imani za mashariki ya kati ni utumwa wa fikra.
  11. Odhiambo cairo

    Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Una ujinga mwingi sana. Ibada na za waatu wengine zinakuhusu nini ?!. Kuna jamii zingine zinaabudu Ng'ombe, Majoka, Milima, Jua nk. Sembuse na waKristo kuabudu wanachokijua na kukiamini. Imani yao, ulevi wao na Ibada zaozi zinakuhusu nini kwenye pepo zako na utakatifu wako machoni pa Mungu ...
  12. Odhiambo cairo

    Lloyd Austin aiambia Israeli iendelee kuwaangamiza Hamas

    Unajua nini !!. Achaneni na mafundisho ya kufikirika kuwa Mayahudi na manasara ni maadui zenu. Hayo yalikuwa mawazo ya Muhammad, lakini la kuambiwa changanya na za kwako. Usikaririshwe . Hoji 0
  13. Odhiambo cairo

    Lloyd Austin aiambia Israeli iendelee kuwaangamiza Hamas

    Israel wakiamua kuweka utu na ubinaadamu pembeni. Hivyo vita ni vya siku mbili tu wala si tatu kama unavyosema.
  14. Odhiambo cairo

    Lloyd Austin aiambia Israeli iendelee kuwaangamiza Hamas

    Hamas hawakufikiria consequences za hatua zao za 7/10/2023. Bahati mbaya nawaona kama jamii inayofanya mambo kishabiki bila kuhoji athari zake. Pia na mafundisho yao ya Imani ni tatizo.
  15. Odhiambo cairo

    Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

    Lumumba mmeamshana asubuhi yote hii kutuvuruga mawazo. Kama kwa miaka 62 kimeshindwa kutatua kero za wananchi, leo aje huyu Bashite akipe heshima ?!. Anyway ni njia zenu za kujipatia mkate. "Kusifu na kuabudu" By the way hizo zinazoitwa kashfa zilizomtoa Chongolo mbona hamzizungumzii. Kwanini...
  16. Odhiambo cairo

    Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?

    Uko sahihi, tatizo watu wote walioko kwenye system wanajipendekeza chamani.
  17. Odhiambo cairo

    Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

    Ahahahahaaaa eti mjinga, UKOME kwa kufanyiziwa
Back
Top Bottom