Search results

  1. Majighu2015

    Maisha baada ya usaliti

    Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu. Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
  2. Majighu2015

    Ulimi wa mwanamke vs chui

    Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko ulimi wa chui. Wanawake mmetishaaaa
  3. Majighu2015

    Hata kama ni njaa ila hili ni balaa sasa. Dada zetu hivi mnatuchukuliaje?

    Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
  4. Majighu2015

    Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  5. Majighu2015

    Movie ya EONII hakuna kitu

    Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
  6. Majighu2015

    Natafuta mshirika wa maswala ya TEHAMA tupige pesa

    Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha. Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
  7. Majighu2015

    Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  8. Majighu2015

    Tatizo la kukatika Umeme ni Dar es Salaam yote au?

    Wadau hivi hii katikakatika ya umeme inayoendelea ni huku kwetu tu au ni jiji zima la Dar? Huku maeneo ya kawe, mbezi beach, tegeta tunateseka sana. Naamini na maeneo mengine hali ni hiyo hiyo. Kwa muda wa karibu mwezi mmoja kumekua na hii shida kwa kiasi kikubwa sana. Nakumbuka kipindi cha...
  9. Majighu2015

    Kufunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya

    Wadau kuna mrembo flani hivi ni muislamu ila tumeelewana sana na tunatamani tuishi kama mume na mke, mm ni mkristo. Tatizo la huyo manzi hataki kubadili dini na ameshauri kama tukikibalina kuishi pamoja basi tukafunge ndoa kwa mkuu wa wilaya. Nawaza sana kuikabidhi ndoa yangu kwa mkuu wa wilaya...
  10. Majighu2015

    Fanya yooote kwa mpenzi wako lakini ukishindwa kutumia kitanda vizuri hesabu maumivu

    #Yani kama ni mwanaume hata kama uhudumie familia yako kwa kiasi gani kama mkeo humridhishi kitandani hesabu maumivu. #Mwanamke fanya kila kitu lakini kama humridhishi mwanaume wako hesabu maumivu. #Wamama/wadada watu wazima tu lakini wapo na vibenten kwa lengo la kusuguliwa waridhike then...
  11. Majighu2015

    Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

    Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia. #Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo #Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini? #Mwingine utamskia...
  12. Majighu2015

    Mwanamke anayepata vitu hivi na bado anachepuka ana majini

    Kama mwanamke wako anakupenda kwa dhati na unampa vitu hivi na bado anachepuka ana majini.. 1. Hela ya kutosha 2. Se..x ya kutosha--Mpaka anafika mlima everest 3. Care yakutosha--Unamnunulia zawadi, unamtoa out n.k Wadada kuna cha ziada mnachohitaji zaidi ya hivyo?? Wanaume pigeni kazi...
  13. Majighu2015

    Wanaume wanaotunzwa na wake/wachumba zao njoni hapa

    Hivi inakuaje kidume unamtegemea mwanamke kwa kila kitu? Yani kidume vocha, mavazi, chakula, hela za hapa na pale anaomba kwa mke/mchumba wake na wala haoni aibu kabisa. Ni aibu sana kwa kweli kwa mwanume kutegemea kila kitu kutoka kwa mkeo/mchumba wako. Mwanaume sharti uhangaike, hata kwenda...
  14. Majighu2015

    Totenham 4-4 Liverpool

  15. Majighu2015

    Nini kifanyike kuondokana na bishara ya ukahaba nchini?

    Imekua ni janga la kitaifa kuhusu biashara ya ukahaba hapa nchini. Makahaba hata wakikamatwa na polisi huachiwa kutokana na polisi kukosa ushahidi. Biashara hii imekua ikifanyika sehemu za wazi kabisa na maeneo wanayoishi wananchi hivyo kusababisha kero kubwa. Wazazi wanahofu kubwa kuwa watoto...
  16. Majighu2015

    Je, unaweza kushea nywila ya ATM na mkeo/mumeo?

    Wandoa mnaweza mkanshea nywila za ATM, Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel-Money n.k na waume/wake zenu? Kwa mliojaribu kufanya hivyo, nini changamoto na faida ya kufanya hivyo. Swali la pili:Unaweza kumuambia mkeo/mumeo mshahara unaopata? Nini faida na hasara ya kuweka wazi kipato chako.
  17. Majighu2015

    Kutoka noah mpaka balimi nne nne kila mtanzania

    Kutoka noah mpaka balimi nne nne,Acacia Mungu anawaona, mpaka hizo balimi mnataka kutunyima?
  18. Majighu2015

    Kuishabikia Arsenal kunahitaji uwe na moyo kama Alshabaab

    Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za mashabiki wao. Kuiacha arsenal siwezi ila kwa sasa naacha kuangalia mechi za arsenal. Bora niangalie...
  19. Majighu2015

    Wadada mnafanyaje kuwapata madomo zege?

    Yaani mwanaume akiwa domo zege ni shida sana. Unakuta mdada kampenda mkaka na kaonyesha dalili zote, lakini kutokana na mkaka kuwa domo zege anashindwa kurusha ndoano. Hii ni sababu mojawapo ya wakaka kuishia kupiga punyeto. Hawa dada zetu wanapenda kutongozwa, akikukatalia mmoja mwingine...
Back
Top Bottom