Search results

  1. Manema Jr

    ACT-Wazalendo; Ilikuja kwa kasi na inakufa kwa kasi ya ajabu

    Huwezi ukalinganisha mkoa wa Kigoma na Arusha kubwa sana mkipigwa mkubali tu! Hata ukiachana na wilaya za mkoa wa Arusha,chukua tu jijini tu yaan mjini pale zile kata 25 kama ni mkoa wa Kigoma unazo wilaya ngap? Tuje tena wakazi wa A City na Kigoma ni sawa?? Think 2 b4 comment,,, ACT MNAKUFA...
  2. Manema Jr

    Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

    RIP mpendwa wetu
  3. Manema Jr

    Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Ww hujielewi ungekuwa ww au wazazi wako ndio wanabomolewa ungesema hivyo??? Umekera sana! Acha uchama toa changizo
  4. Manema Jr

    CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    PEOPLE'S power watatuelewa tuu
  5. Manema Jr

    Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    We Clouds sio ya Muhaya ni ya Mjita _Kusaga sio Ruge,Ruge ni mfanyakazi tu.....
  6. Manema Jr

    Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Azam noma,piga hao wakenya
  7. Manema Jr

    Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Tuko pamoko na nyie
  8. Manema Jr

    Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

    Anapata kwao Singida wanamkubali sana
  9. Manema Jr

    Dk. Magufuli ajitosa Katiba Mpya, awabeza CHADEMA

    Kwa Tanzania yetu hii,,,watu wameshasahau kama walichakachuliwa katiba yao mimi naona hakuna jipya
  10. Manema Jr

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Polisi ndio wanajukumu la kuwalinda raia na Mali zake ndio maana wako wizara ya mambo ya ndani,kwa hyo ww ulitaka na jeshi liingie,jeshi aliwezi kuingia katika mambo ya ndani hapo watakuwa wanawaingilia Polisi jukumu lake labda itokee Polisi ishindwe ndio waliombe Jeshi ,NB Jeshi wao wanalinda...
  11. Manema Jr

    Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Ni kitu kigumu na hakiwezi kutokea yaani,,,,Israeli ni taifa teule la Mungu (wa-Wakristo) kwa Imani na kamwe hakuna taifa linaloweza kumtisha Israeli na hata Marekani analijua hilo na ndio maana hamuachi
  12. Manema Jr

    Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Ngoja tusubiri ila atakuwa amechukua maamuzi ya haraka sana,kama mwanasiasa avumilie tu
  13. Manema Jr

    Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Duuu hawa Act sasa wataimaliza ukawa
  14. Manema Jr

    NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

    Bunda pamekuwa mji now kwahyo pamekuwa pakubwa na idadi ya watu ni kubwa
  15. Manema Jr

    NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

    Wamesahau Shirati_Rorya
Back
Top Bottom