Search results

  1. mimi43

    Msaada kuhusu Windows 10 apps to crush

    wakui kwema, naomben msaada, baada ya kuupdate wins10 yangu version 2004 apps za windows zote hazifunguki kama photos, microsoft store. naomba kujua tatizo ni nini au solution maana nimegoogle ila sijapata uvumbuzi. Asanteni
  2. mimi43

    Msaada: PC inajizima Wi-Fi yenyewe

    Wakuu kwema, Naomba msaada PC, yangu inajiswitch off wifi automatically nimegoogle njia mbalimbali ila bado hijakaa sawa. Mwenye ufahamu maomba anielekeze ufumbuzi wake.
  3. mimi43

    Naomba kujuzwa shule nzuri za A level (Form 5 & 6), Kilimanjaro na Arusha

    Wakuu kwema, naomna msaada wa shule nzuri (mazingira na performance) za kidato cha tano na sita zinazopatikana mkoani Kilimanjaro na Arusha Note - Iwe boarding - Mchepuo wa science na biashara hasa. Asanteni.
  4. mimi43

    PC Emulator: Apps zinazosupport sharing of files kati ya pc na simu (android)

    wakuu vp. nimepata changamoto kushindwa kupata apps ya kushare files kati ya pc na simu na nina hitaji sana. nimejaribu blue stuck ila inazingua sana kwenye pc yangu na ipo slow. nimejaribu kugoogle apps tofauti za kushare file kati ya pc na simu ila imekuwa changamoto. naombeni mwenye kujua...
  5. mimi43

    Maoni: Ubora na ufanisi kati ya S7 Edge vs Galaxy S9+

    Wakuu kwema, Naomba kujua performance kati ya hivi vifaa viwili vya kielectronic kwa aliyewahi kutumia mojawapo kati ya hivo au vyote. Nimeshatumia S7 Edge version ya USA verizon (Snapdragon 935v). Ipo vizuri, speed safi, charge inakaa. Maoni yenu ni muhimu sana wanabodi wa gadgets kati ya...
  6. mimi43

    Kurudisha Corrupted Files kwenye windows 10

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki. Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona...
  7. mimi43

    Android OS Update

    Wakuu habari zenu. Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room. Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio international version, hivo nashindwa kuupgrade kwa njia ya kaiwaida inayotumika na wengi...
  8. mimi43

    Ratiba ya kazi ya TCU

    Habari wadau, Naombemi mwenye kujua ratiba ya TCU siku ya jumamosi kama wanafungua office Je kama wanafungua mwisho saa ngapi
  9. mimi43

    Multiple selection second round

    leo majina yametoka kwa walioapply second round. Third round imeanza lep tarehe 24 hadi 26. Angalie ujue una confirm au ni third round.
  10. mimi43

    Kwa nini Keny Wanatumia Asilimia tofauti

    Leo nilikuwa naangalia habari KTN lakini niliona kiswahili kilichonifanya nifikirie. Kwenye habari yenyewe ni kwamba pale walipotaka kutangaza idadi ya vitu katika @Percentage walikuwa hawasemi..asilimia 5 au asilimia 70 au asilimia 23 wenyewe walikuwa wanasema Asili 5 au Asili 70 au Asili 23...
  11. mimi43

    SHUKRANI: Kwa JF Doctor Members

    Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa kitaalamu zaidi). Lengo ni kuleta mrejesho kuwa aliyekuwa mgonjwa amepona kabisa na amenipa shukrani za...
  12. mimi43

    Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Habari za jioni wadau, naomba kujua jinsi ya kupata Award Verification Number (AVN) Je ni lazima kuwa na hiyo namba ili uapply degree.
  13. mimi43

    Inasikitisha

    Kanisa moja huko nchini Africa ya kusini fundi mitambo kachanganya flash kwenye mkesha wa Christmas na kuweka flash ya x
  14. mimi43

    Msaada: Jinsi ya kuangalia mpira kwenye TV ukiwa umeconnect na simu

    Habari za muda huu wadau, Nahitaji kujua namna ya kuangalia online programms za TV kwa kuconnect na simu. samsung note 8
  15. mimi43

    Niliapply diploma second round kupitia NACTE, baada ya muda nikaambiwa nimechaguliwa SUA

    Niliapply diploma second round kupitia nacte, baada ya muda nikaambiwa nimechaguliwa SUA. Jana SUA imetoa majina ya waliochaguliwa second round huku jina langu likiwa halipo. Je nitakuwa nimekosa nafasi niaaply tena, kwa sababu nacte inanimbia Confirmation status ni "Pending"
Back
Top Bottom