Search results

  1. S

    IN Dallar US

    DAH wabeba mabox mnaogopa nini?????
  2. S

    IN Dallar US

    Ahsante VANILLA........nimekuelewa namaanisha Dallas
  3. S

    IN Dallar US

    Ijumaa nitakuwa huko hadi Jumapili... ahsante nitakuPM
  4. S

    IN Dallar US

    Acha UBWEGE wewe, Kuna typing errors sasa kama unaona hujaelewa tuliza mshono
  5. S

    IN Dallar US

    Wadau kuna Watanzania Dallars, Kama yupo na atakuwa free an inbox number yake
  6. S

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Tofautisha usenge na uhanithi usenge - ni hali ya mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile uhanithi - ni hali ya kupoteza uanamme, yaani kushindwa kusimamisha vyema....
  7. S

    ukikuta zimetumika utareact vipi?

    Ukiona manyoya .........ujue ameliwa!!!!
  8. S

    Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

    Mwezi wa tatu wa mwaka Gani ndugu
  9. S

    Msaada wadau

    Wadau naomba mnisaidie kupata number za wahusika wa bendi hizi B-Band and Banana Zorro Inafrika Band na Wanne Star Kilimanjaro Band Please wadau nisaidieni
  10. S

    Wasichana wa Bongo mbona sio waaminifu?

    Dadaa, Be blessed!!!! ushauri mzuri sana...... mke mwema anatoka kwa bwana!!!!
  11. S

    Help!

    Hivi nyie watoto wa kike mkoje? ina maana ukiwa na Boyfriend lazima awe anakupa hela, ina maana unamuuzia uhusiano au? hebu acheni mambo ya kijinga kama mnafanyabiashara declare terms mapema ili kabla hamjaanza uhusiano ijulikake kama bond ni hela na sio mapenzi. Ndio maana mnawasababishia...
  12. S

    Laiti picha za makazini zote zingewekwa nyumban ndoa nyingi zingekua icu

    Tuache masihara huyomdada ni mzuri na amependa atiiii!!!!!!
  13. S

    Tanzia

    Pole sana ndugu yangu, its paining RIP our baby!
  14. S

    Mke wangu anastahili adhabu?

    Muonja haonji mara moja atiii!!!
  15. S

    Wanaume tunaridhishwa kwa vitu vidogo...

    Hapo Kongosho umekosea, nadhani vaisi vesa iz truu
  16. S

    Invoice zinatisha

    Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh...
  17. S

    Wakina dada kujichubua!!!

    kaka kumbe wewe unazungumzia weupe wa wazungu..... hapo sikubishii wao ni mvuto less lakini kitu cheupe cha kibongo hapo tutabishana mpaka basi.... ila isiwe mkorogo kitu natural
  18. S

    Wakina dada kujichubua!!!

    Sijui kama umesha kutana na hili mabinti wanaojichubua wako na harufu flani mbaya na ni comon kama kuku alie nyonyolewa vile, sijui ni mafuta/mikorogoro yao au nini. yaani kinyaa... ila na sisi wanaume tuna moyo kula black and white (multcoloured).
  19. S

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    mimi GAGA tuuu
Back
Top Bottom