Search results

  1. kuberwa

    Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

    Tunaisoma namba pamoja haina ubaguzi!🤣
  2. kuberwa

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Hapa IGP huwezi kusikia akiita press kuwashutumu na kuwaita magaidi watu wake! Huu sasa ndo ugaidi kutisha watu wajione hawako salama wanaweza kuchukuliwa mpaka majumbani mwao!🚮
  3. kuberwa

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Hii homa si ndo Meningitis? Inaletwa na bacteria Meningal coccus? Au ni kitu kingine?
  4. kuberwa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari zenu, nashukuru kwa mada hii nzuri. Napenda kufahamu kama kuna mtu anamiliki gari aina ya Volkswagen polo... Kama yupo napenda kufahamu anatumia engine oil gani.. Pia nahitaji kufahamu mahali naweza kupata lock ya mlango na lifter ya kioo cha mlango wa kulia nyuma (rear right hand...
  5. kuberwa

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    So sad kukupoteza kaka! Hakika sote ni wa Allah na kwake siku tutarejea.
  6. kuberwa

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    I cannot argue with you, Allah has placed a veil on your eyes and sealed your hearing... none can take it off you except him...better continue wondering in your contumacy, we shall meet on the day which there is no doubt! in sha Allah
  7. kuberwa

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Wadutch leo kimyaa mtaani! Maana leo tungeshaamshwa usingizini na honi zao na mafataki... this day, Go Costarica goooooo
  8. kuberwa

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    [inafundisha watu kujitenga] Sema kujitenga na uovu! Pia lengo la hijab (Stara) ni ili mwanamke atambulike kuwa mcha Mungu, hivyo alhadulillah kama lengo limefikiwa. Kuondoa hizo hisia zako mkuu basi wote wavae hijabu ili usitambue yupi ni yupi... wasiwasi wangu ni pale mtakapoona na majina...
  9. kuberwa

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    People rather understand poor science than Allah's words with clear evidence! Mr Science can you explain to us, things came from big bang? who created that bang? and why that bang did stop happening to create more creatures?
  10. kuberwa

    Wasichana wawili 1st year SUA na lecturer wafumwa wakifanya ufuska

    I'm ashamed of you @ Food Engineer! Au ndo ulikuwa unajifunza kupost Jf? Hebu nimpigie Chove wafanye mchujo upya hapo Food maana naona hujaqualify kuwa hapo kama unashindwa kueleweka kwa mambo madogo kama haya!
  11. kuberwa

    Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    Bora waanze msako wa mtaa kwa mtaa! I guess God has decided to take back his creatures in that fashion, he is the all knower the wise... I'm praying for them though
  12. kuberwa

    Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

    Nilimaanisha nafuu ya uchochezi inayofanywa na mataifa ya magharibi, watapata cha kuwashughulisha na kuacha kuchochea vita kwenye nchi zetu! Hivyo tutapumua kiduchu though athari za kiuchumi nazo zitakuwepo kwani tunawategemea kwa kiasi kikubwa ktk business
  13. kuberwa

    Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

    Hebu wadundane wao kwa wao, labda Afrika tutapata nafuu! Mweh
  14. kuberwa

    Mavazi katika ofisi za Umma: Utumishi watoa mwongozo

    Na majina utashauri tubadili tuitwe akina karunguyeye ili tusifahamike dini zetu! Pole, na wajaribu kuzuia tuone!
  15. kuberwa

    Usahaulifu wa Wananchi, Mtaji—Nafiki wa Wanasiasa: Kabila Lingekuwa Kadi ya Chama Ningejiungeua Leo

    Siasa zinaididimiza Bukoba, huu ni ukweli usiopingika! We need changes za dhati na sioni mwanasiasa yeyote mwenye upeo na nia ya dhati katika kuikomboa Bukoba yetu, kila mmoja ana maslahi binafsi si kwa wananchi... we still have a very long way to go
  16. kuberwa

    Kuzaa bila ndoa.

    Mpige vita ngono kabla ya ndoa, si matokeo ya ngono baasi... Mnafanya ngono mkitegemea nini? Haya ndio matokeo ya kutokuzingatia maadili, jiandaeni vilivyo maana lijalo ni kubwa zaidi ya mimba
  17. kuberwa

    Zanzibar nje ya muungano,watalazimika kupitisha sheria ya kudhibiti kuzaana

    uwezo wako wa kufikiri naona umeishia hapa, badala ya kuleta argument za msingi unaleta mambo usoyajua na kubwatuka ovyo. Hebu jiheshimu ndugu
  18. kuberwa

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Pole sana ndugu Heaven Mungu atakuponya na kukurudishia nguvu zako kama awali. Tuko pamoja
  19. kuberwa

    Je, wajua kuwa Ariel sharon toka 2006 alipozimia bado hajazinduka?

    Mungu aendele kumpa maisha marefu hapo kitandani!
Back
Top Bottom