Search results

  1. W

    Taaluma ya polisi

    Ivi karibuni jeshi la polisi limeanzisha Diploma in Police science je hii itasaidia kuweka polisi kwenye perfomance nzuri au wameanzisha kwa nia ipi ? Polisi ina wasomi wengi lakn sio wataluma hiyo na kwenye utendaji kuna uoga mwingi hakuna anaejiamini toka IGP - PC ndo maana unakuta migongano...
  2. W

    Mafanikio ya vyama vya siasa nchini

    Vyama vya siasa nchini Tanzania tangu vianze vimeleta demokrasia hasa ktk uhuru wa kutoa mawazo, raia kujua haki zao nk lakini lengo kubwa nafikiri ilikuwa pamoja na hayo kumletea mawananchi maisha bora jambo ambalo halijafanyika ipasavyo na ili unuse harufu ya maisha bora ni lazima uwe member...
  3. W

    mtuhumiwa

    inakuwaje pale ambapo mtuhumiwa hakuandikwa maelezo polisi na akapelekwa mahakamani na katika proceeding akatoa hoja hiyo kuwa hakuandikwa maelezo yake na anaomba mahakama imwachie huru je anaweza kuachiwa kwa hoja hiyo ? toeni maoni yenu as much as you can with cited cases na vifungu vya sheria.
  4. W

    uchaguzi wa spika

    vipi huyu Chenge mbona kama anamponda Samweli Sitta ? hivi mnamuonaje anaweza kulimudu bunge kama alivyolimudu Sitta ? naomba maoni yenu.
  5. W

    Elections 2010 uchaguzi mkuu

    ukishinda sherekea kwa amani siyo kuanza vurugu kwawale uliowashinda polisi wakigeuka mtapata tabu badala ya raha, au ndo ulimbukkeni wa madaraka ? nawashauri walioshinda wawe watulivu waende bungeni kwa kutetea wananchi na hoja za msingi siyo kuropoka tu igeni nyendo za Dr.Slaa anayetoa mambo...
Back
Top Bottom