Search results

  1. MGILEADI

    Tuwakumbuke marefarii wa zamani katika soka

    Ramadhan Kaabuka, Gratian Matovu, Hafidh Ali
  2. MGILEADI

    Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

    Ahsante! Hilo lilikuwa agizo la Mungu. Mungu alimwagiza tu naye akatii. Mwa 22 sura yote. Biblia haisemi sababu gani Mungu alimwagiza hivyo.
  3. MGILEADI

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Mandela hakuzingirwa na hofu ya wazungu nadhani. Yeye alikuwa ni lulu ya usalama wao. Mpango wa Ukweli na Upatanisho uliwafaidi Wazungu zaidi ya Weusi. Mfano Bram Fischer hitman wa weupe alisamehewa na wengine wengi. Mandela alikuwa nembo ya usalama wao wasingefikiria kumuua. Mawazo yangu tu.
  4. MGILEADI

    Mawaziri karibu wote wa Israel walikuwa makomandoo

    Uko sahihi ila pia Iliitwa "Operation Thunderbolt".
  5. MGILEADI

    Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

    Mlima Moria upo Yerusalem katika eneo la uwanja wa hekalu pembezoni walipojenga Msikiti wa Al Aqsa ama " Dome on the Rock". Wanaita wengine "temple mount."
  6. MGILEADI

    Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

    Una maana ya Fidel Alejandro Castro Ruz? Sijui Marando anaingiaje hapo? Mnamsahau Chief of Operations siku hiyo, Didas Massawe, kwenye tukio hilo na hata magazeti yaliandika kuhamishiwa kwake CDA Dodoma baada ya hilo tukio. Tamimu alikua na makosa yake hata kabla ya kujiunga na kundi hilo la...
  7. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Katika ulimwengu wa waliostaarabika matusi hayana nafasi hata kidogo. Tutawaachia JF yenu mtukane mnavyopenda.
  8. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Sifahamu huyo unayemwita Jiwe. Lakini Kipanya si mwanasiasa.
  9. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Sisi hatuna shida tunatoa ushauri tu kwa kile kilichojiri na katuni yake. Hatutaki aingie kwenye matatizo bila sababu.
  10. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Ungefuatilia mjadala husika ungeelewa.
  11. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Kila kipawa kinahitaji ushauri, malezi na maongozi. Ulimwengu umekuwa na watu wengi wazuri ambao vipawa vyao vilikosa malezi na mashauri na vikaishia njiani. .
  12. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Tunamshauri tu msanii aepuke matatizo yasiyo ya lazima. Mnamshangilia sasa, kuumia ataumia mwenyewe wala hamtakuwepo. Kwa nini mnamdanganya mtu. Si ukae kimya tu. Lazima uchangie? Msimjibie acheni ajibu mwenyewe. Kama wenzako wanakwazika yeye kula hata nyama, Mtume Paulo alisema "Sitakula nyama...
  13. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Kwani waliompigia simu ni CCM? Ni watu waungwana tu wanaomtakia mema msanii huyo.
  14. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Kwani waliompigia simu ni CCM?
  15. MGILEADI

    Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani...
  16. MGILEADI

    Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

    Kule kwa mganga walieleza kila kitu. Wale "wagonjwa" wengine lazima walipata ushahidi wa kukiri kwa walengwa wakuwa kwa mganga. Lazima walimweleza mganga awale kinga kwa kuwa walikuwa wameua. Sasa ukipata hiyo ya kukiri mwenyewe, "forensic evidence" (ushahidi wa kisayansi) wa nini tena...
  17. MGILEADI

    Kama Ndivyo Mambo Yalivyo Basi Trump Amepiga Kazi Sana!

    Trump amefanya kazi sana japo anasumbuliwa sana pia. Kuna nchi moja ya Afrika yupo rais anayejaribu kweli kweli. Lakini daah, upinzani na kejeli anazopata kubwa sana.
  18. MGILEADI

    Mwanasiasa mwanamke mwenye asili ya Kitanzania aingia Bungeni Pakistani

    Watu humu wana uchungu Kweli wanakosa pa kuutolea. Ukisema kitu kinabadilishwa maana haraka sana. Ila umemjibu vizuri na kistaarabu. Ipo tofauti kubwa kutoa taarifa kama hiyo na tunayosikia juu ya wale waliomo humu wenye utata na uraia wao. Hao Sidi wamewahi kutembelea Tanzania na kushiriki...
  19. MGILEADI

    RC Mnyeti: Hakuna Serikali wala dola yoyote duniani iliyo juu ya Kanisa

    Japan hakuna Kanisa? China hakuna Kanisa? Israel hakuna Kanisa? Kweli kabisa?? Daaah!
Back
Top Bottom