Search results

  1. Mlangaja

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Nitakuunga mkono kwenye maandamano. Mimi waminiharibia mashine ya zaidi ya million tano juzi. Watu wanaofanya hivi ni mashetani tena mashetani ya kuzimu kabisa. Ni wapumbavu hawajawahi kutokea!
  2. Mlangaja

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Umesema kitu gani sasa! Hamnazo kabisa. Sijaona hoja yako ni nini.
  3. Mlangaja

    Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Halafu mbwa wasafishao watoto kwa kuwalamba baada ya kujisaidia wanasema Mafufuli hakufanya chochote!
  4. Mlangaja

    Kichochoro cha kupitisha Dhahabu Musoma kwenda Kenya kifuatiliwe

    Nchi ya ajabu sana hii. Suala kama hili hawajalifanyia kazi. Hopeless kabisa.
  5. Mlangaja

    Dkt. Samia, Mchumi aliyehitajika kukinusuru kilimo na kuwafuta machozi wakulima

    Hivi mpiga debe wa daladala anaweza kuwasemea wavuvi? Hiki ulichoandika kwa maneno makali ni utumbo! Wewe hujui chochote kuhusu kilimo bora kukaa kimya! Masoko gani ya uhakika yaliyopo? Sera zipi zitawezesha kilimo biashara? Mwaka juzi serikali ikasisitiza kilimo cha alizeti ili nchi ijitegemee...
  6. Mlangaja

    Umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18

    Hopeless kabisa. Badala ya kusema watu ambao hawajasoma na wanawake hakuna kupiga kura wanaleta ujinga kabisa
  7. Mlangaja

    Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Huu ndiyo ujamaa. Ujamaa ni mfumo wa kipuuzi kabisa wa kuendesha nchi. Pilipili ya shamba yakuwashia nini?
  8. Mlangaja

    Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kwa mtindo huu bado wanasema Magufuli alikuwa mbaya. Kwa nini kila kitu kilikufa na Magufuli? Mnafikiri sisi Watanzania ni wapumbavu? Tunawaelewa viongozi wa hovyo. January Makamba umejipambanu wewe ni kiongozi wa hovyo kabisa.
  9. Mlangaja

    Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Nampenda Dr. Slaa. Yeye husema ukweli. Anatufaa sana kuwa Rais wetu.
  10. Mlangaja

    Kuhusu umeme. Mbona kuna malipo kibao yanaonesha tunakatwa REA?

    Kati ya upumbavu wa hali ya juu uliopo Tanzania ni kutokuwa na makampuni binafsi ya umeme. Tanesco inanyanyasa watu kwa sababu ipo peke yake. Watanzania tunapaswa kuilazimisha serikali kutunga sheria itakayo ruhusu makampuni binafsi kuzalisha na kusambaza umeme. Tukiweza tatizo la Tanesco...
  11. Mlangaja

    Karibuni wachambuzi tuchambue kisa hiki

    Hakuna kitu inauma kama hii. Mpaka baba anakufa hawakuwaambia watoto kwamba baba anaumwa. Ghafla baba amefariki. Halafu wale waliomtukana baba wanakaribishwa nyumbani. Kifo cha baba kina utata sana😫😫😫😫😫😫😫
  12. Mlangaja

    Mnaobadili Maamuzi ya Awamu ya 5 ambayo mlikuwepo na hii ya 6 mnafanya yaliyokuwa hayatakiwi msisahau Kutubu Dhambi ya Unafiki wenu

    Nyerere aliwahi kusema wanasiasa malaya! Ninavyoona mimi hapa kwetu wote ni malaya tena waliokubuhu kisiasa.
  13. Mlangaja

    Dawasa: Mtambo wa Maji Makongo juu wawashwa na maji yaongezeka, Mabwawa 26 yaliyochepusha maji ya Ruvu yakamatwa!

    Hebu tufikiri kidogo. Hayo mabwawa yamepata kibali kwa nani? Na kama hawakuwa na kibali mamlaka zilikuwa wapi mpaka maji yanapungua na kufikia hali hii? Hebu fikiri, umepewa mafunzo ya ujasoriamali wa ufugaji samaki. Umechukua mkopo, umejenga bwawa na umeweka mbegu ya samaki halafu mtu anakuja...
  14. Mlangaja

    Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Nachukia ujamaa wa kikomunisti! Nauchukia hapa na kwenye mwezi na kurudi
  15. Mlangaja

    Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

    Raisi yupo sahihi kabisa. Watu kutoka nje wanaongeza sana ajira hapa Tanzania. Mara nyingi ajira zao ni rasmi. Wao huajiri wapishi, walinzi wabustani nk. Hawa Watanzania hupata ajira rasmi. Mimi ningeenda mbali na kuruhusu watu wa nje wawe na access hata ya kustaafu na kuishi hapa. Fikiri...
  16. Mlangaja

    Ni kipi kifanyike ili kuondoa wizi maofisini na katika mashirika ya Kiserikali?

    1. Tabia ya kulindana ikomeshwe. 2. Kuwe na mifumo thabiti na yenye uwazi juu ya mapato na matumizi ya fedha. 3. Wafanyakazi wapumbavu waondolewe mapema. 4. Wafanyakazi wa serikali wapewe mafunzo ya fedha.
  17. Mlangaja

    Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

    Joby mujarabu! Endelea kushauri nchi yeti Kaka!
  18. Mlangaja

    Kwa muonekano wa nje, Ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko Ikulu ya Dodoma

    Kama nchi hatupo makini ndo maana hata raisi kafa kiajabu ajabu tu .
Back
Top Bottom