Search results

  1. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema. Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
  2. mcfm40

    Si sahihi Mkuu wa Nchi kuingilia mambo ya kiimani au kiroho ya wananchi wake!

    Si sahihi kwa Mkuu wa Nchi kuingilia mambo ya kiimani na kiroho ya wananchi wake. Wapo watu maalum wapo kwa kazi hiyo. Yeye kazi yake ni kuangalia maslagi ya kimwili ya wananchi wake! Ni hatari kwa Mkuu yeyote wa Nchi kujaribu kutoa tafsiri yake binafsi ya imani kwa Mungu. Ni kosa kwa sababu...
  3. mcfm40

    Uchaguzi 2020 Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea Urais CCM ni msimamo rasmi wa chama au yake mwenyewe?

    Hebu tuwekane sawa tusije kurukana kimanga baadaye. Nauliza tu. Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea wa CCM, Mh rais John Pombe Joseph Magufuli ndio msimamo rasmi wa chama au ni kauli na maoni yake binafsi? Nasema hivi ili baadaye tutakapowauliza/ mtakapobanwa msije mkasema zilikuwa kauli...
  4. mcfm40

    Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

    Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho! Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini? Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo...
  5. mcfm40

    Naomba kujua kuhusu gypsum board

    Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu ubora wa gypsum board zinazotengenezwa hapa nchini (za kichina) na zile maarufu za Thailand. Je, ni kweli zinatofautiana sana ubora au ni swala la brand tu? Nauliza hivi kwa sababu bei zinatofautiana sana. Za hapa ndani zinauzwa kati ya 14000 na 15000 wakati...
  6. mcfm40

    Waraka wa wazi kwa Rais Magufuli na mwenyekiti wa CCM.

    Ndugu rais, nichukue fursa hii kwanza kukupa pole na hongera kwa majukumu yako ya kila siku ya kuiongoza (sio, kuitawala) nchi yetu tukufu. Baada ya hayo, niingie moja kwa moja kwenye ujumbe wangu. Ni hivi, Mh rais, kwa siku za karibuni, infact, tangu umeingia madarakani kumetokea jambo jipya...
  7. mcfm40

    Tafadhali Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tusaidieni hapa

    Mlituhamasisha sana kulima mohogo kwa wingi kwani wapo wachina wanaihitaji kwa wingi. Tuliitikia wito tumelima mihogo ya kutosha. Kinachosumbua sasa hatuna pa kupeleka mihogo yetu, wachina hawaonekani na bei ys soko la kawaida inaporomoka kwa sababu muhogo umefurika mitaani. Tafadhali Wizara...
  8. mcfm40

    Kuna umuhimu wa kuwa na Baraza la Uongozi la Taifa katika nchi yetu!

    Ndugu wanaJF, Nimekuwa nalifikiria sana hili jambo muda mrefu na nilipendekeza pia wakati wa mchakato wa maoni ya Katiba Mpya. Ni muhimu sana kwa nchi yetu kuwa na Baraza la Uongozi la TAIFA. Baraza hili liwe na wajumbe kutoka nje ya serikali, bunge na mahakama. Hii itasaidia lenyewe kuwa jicho...
  9. mcfm40

    Je, mnajua CCM ilishakufa? Kilichopo ni chama tofauti kabisa, Fuatana nami

    Kiuhalisia Chama cha Mapinduzi (CCM) kilishakufa au ndio kinakaribia kukata roho. Kilichopo sasa hivi ni chama kingine kabisa japo wengi wa wanachama na mashabiki wa ccm hawajang'amua hilo. Kwanza ni jina. Katika zungukazunguka ya Polepole huwa anatambulisha chama chake kama CCM Mpya. Hiki ni...
  10. mcfm40

    Kilichofanywa na TANROADS Mbezi mwisho ni uhuni mkubwa

    Juzi usiku tanroads walivamia vibanda na magenege ya wafanyabiashara ndogondogo za mbogamboga, matunda na vinginevyo waliopo kando kando ya stendi ya Mbezi na kuchoma kwa petroli biashara hizo. Ikumbukwe hivi ni vibiashara vidogovidogo vinavyofanywa na kina mama na vijana kwa ajili ya kujikimu...
  11. mcfm40

    Gazeti la Habari Leo na The Daily News kutoripoti habari za Lissu za jana kunaashiria nini?

    Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile unaachaje kuitoa "fent fod" kwa mfano? Hii ina maanisha msomaji wa haya magazeti akitaka kuipata habari...
  12. mcfm40

    Hivi hakukuwa na njia nyingine yoyote ya kuepuka uharibifu wa kubomoa nyumba za watu?

    Ninapoona jinsi uharibifu unavyofanyika katika bomoa bomoa inayoendelea napata mashaka sana kuhusu roho ya kiongozi wetu mpendwa. Gharama kubwa na kujinyima kwa watu, kwa mfano, mpaka wakajenga kanisa, leo unalibomoa bila kujali choch ote. Maghorofa yanabomolewa,mahospitali bila hata kujaribu...
  13. mcfm40

    Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

    Leo katika kipindi cha bunge cha maswali ya papo kwa hapo amesema kwamba serikali haijawachukulia hatua zozote kampuni yoyote ya madini au mwekezaji kutokana na ripoti ya makinikia. Kwamba hatua zilizochukuliwa ni za ndani tu haxiwahusu hao wawekezaji. Hivyo wasiwe na wasiwasi na waendelee na...
  14. mcfm40

    NECTA yaelemewa na Rufaa za vyeti vyeki, yasimamisha shughuli nyingine zote!

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limeamua kusimamisha shughuli nyingine zote barazani hapo ili kushughulikia rufaa za watumishi waliotangazwa na serikali kwamba walifoji vyeti. Leo katika viunga vya baraza hilo nimeshuhudia umati mkubwa wa watumishi, wengi kutoka mikoani wakiwa wamefurika...
  15. mcfm40

    Je, mmegundua mchezo "strategist" wa CCM na serikali walioucheza?

    Ni hivi. Katika mkutano wa bunge la February, 2017, wabunge walitoka wakiwa kitu kimoja, wote CCM na Ukawa, kiasi cha hata kuachiana muda wa kuchangia hoja bungeni. Kuna mambo yaliyotokea hasa la Makonda ambayo yalifanya bunge zima kuongea kwa sauti moja dhidi ya serikali. Ilionekana kwamba...
  16. mcfm40

    Ni lini serikali italipa salary arrears wanazodaiwa na vyuo vikuu?

    Hii serikali yetu tukufu wamekuwa wepesi sana kuhimiza wafanyakazi kutimiza wajibu wao ili kuleta tija kazini lakini serikali hiyo hiyo haitimizi wajibu wake kwa wafanyakazi. Mosi. Imegoma kupandisha madaraja, vyeo na mishahara kwa mujibu wa sheria sasa inakaribia miaka miwili kwa visingizio...
  17. mcfm40

    Serikali inagawa dawa za waathirika wa dawa za kulevya? Hebu tusaidiane hapa tafadhali.

    Kamishna wa mamlaka ya kupambana na dawa za kuleya Ndugu Sianga jana alisema kwamba huwezi kumwachisha mtumizi wa dawa za kulevya ghafla. Lazima aendelee kupewa kidogo kidogo mpaka mwili uzoee la sivyo akiachishwa ghafla anaweza kupata maumivu makali sana na hata anaweza kufa. Ndiposa...
  18. mcfm40

    Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    Je, ni kwa sababu ameshindwa kudeliver au tuseme ameunderperform? Je, ni kwa sababu ni mlemavu wa ngozi? Na kwamba alipewa ubunge kwa sababu ya ulemavu wake na si kwa sababu alistahili? Je, hili linatuma ujumbe gani kwa jamii ya walemavu? Je, Possi kuteuliwa kuwa balozi kunampa fursa zaidi ya...
  19. mcfm40

    Dua mbaya na laana zinazoelekezwa kwa Mh Rais, zitamuacha salama?

    Kuna vilio kila mahali na dua mbaya kuelekea kwa rais Magufuli na serikali yake hali ambayo sasa inaogopesha! Kila ukifungua mtandao wa kijamii utakutana na malalamiko, dua na laana zikuelekezwa kwa Magufuli na serikali yake. Hata wale waliokua wanamuunga mkono sasa wamemgeuka na kushangaa...
  20. mcfm40

    Jamani sijawasikia TRA mwezi huu! Makusanyo ya November ni ngapi?

    Au nimepitiwa wakuu? TRA wamekusanya ngapi mwezi wa kumi na moja?
Back
Top Bottom